Tangu mwanzo nimekuwa mpinzani mkubwa wa ujio wa Mourihno kwasababu kuu mbili.
1. Mourihno hana historia ya ku promote wachezaji wa team B mara zote amekuwa ni bingwa wa kununua established players na si kukuza vipaji vya chipukizi.
2. Mfumo wa Mourihno ni kulinda kwanza na si kushambuli hii ni kinyume na utaratibu wa Man Utd soka la kushambulia na kufurahisha washabiki.
Bado napinga ujio wa Mourihno Man Utd kwakuwa ataharibu mipango na mikakati anayotengenza Van Gaal ya muda mrefu.