Nilichopenda ni jinsi depay anavyoanza kucheza vizuri (kwa kujiamini) now days!!! Verela (yule beki no. 2) na bashford wamefanya vizuri sana leo!!!
Bashford inabidi apewe nafasi zaidi naiman atakua bora sana siku za usoni...wenda atakua tumaini letu la ushambuliaji!!!
Again, japo kwa sasa kuna majeruhi, nimependa sana jinsi LVG anavyowapa nafasi madogo!!