Rooney mgonjwa, martial kaumia leo...kama akiwa majeruhi mda mrefu no way lazima rashford aanze..infact kaonyesha kiwango!!!Marcus rashford aanzishwe 1st 11??
Soton walitolewa na hawa... nothing special, hata Aston Villa ingewafunga tu hawa wachovu
Are you serious? 20yrs old with 10 goals msimu wa kwanza......thierry henry alikuwa na magoli mangapi msimu wa kwanza Arsenal?Naona mmepata Macheda mpya. Baada ya mechi 4 hatutamsikia huyu dogo kama tusivyomsikia Martial.
Hahahahaha jpil sio mbal wao sanchez ss varela yaan ama zao zetu.kashengo kale katimu ulikosema kameanzishwa sijui 1995 kalikotutia aibu tumekaweka mahala pake. 5-1 tena kwa kupanga vitoto ambavyo havijawahi kucheza senior level. Sasa jaribu na nyinyi kupanga vitoto tena vs Hull City muone kitakachowapata.
Vile vile mkishindwa kuwatoa Barcelona(kwangu mimi bado mnanafasi ingawa kocha wenu kasharusha taulo jeupe) mnaweza kuwa mnatuangalia tukicheza siku za Alhamisi maana mtakuwa hamna mechi katikati ya wiki.
Hahahahaaaa walete haoEUROPA LEAGUE LAST 16 DRAW
LIVERPOOL v MANCHESTER UNITED
Shakhtar Donetsk v AnderlechtRatiba kamili
Basel v Sevilla
Villarreal v Bayer Leverkusen
Athletic Bilbao v Valencia
Liverpool v Manchester United
Sparta Prague v Lazio
Borussia Dortmund v Tottenham
Fenerbahce v Braga
Hahahahaaaa walete hao
naona siku hizi unaweka hadi picha mkiwaotea vibondeThanks Man United
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]