Keyboard warrior nakuona unapambana... Kama juha hiviHivi kumbe nafasi ya 5 kwenye ligi yenye timu 20 ni mid table? Mh! Hii ni namna ya hisabati mpya?!?
Kwa upande mwingine, epukeeni 'boosters' muwe na akiba ya maneno jamani..
Braza, nimekukosea nini mpaka uniite juha?Keyboard warrior nakuona unapambana... Kama juha hivi
Kawaida ya barca amkimchapa arsenane timu nzima inavurugika wanarudi kusaka nafasi ya nne as usuallyAngalia results/performance za Arsenal na United tangu mwaka uanze,
Its clear Man United inastruggle but unaongea like Arsenal atashinda 7-0
,Je Arsenal wako on fire? Na unasahau pia next week una game na Barca
Arsenal miaka yote ni serious contender tofauti iliyopo ni kuwa wale contenders wenzake wamechoka
Goli 7 hapana....any win if 1-0,2-1, 3-1Angalia results/performance za Arsenal na United tangu mwaka uanze,
Its clear Man United inastruggle but unaongea like Arsenal atashinda 7-0
,Je Arsenal wako on fire? Na unasahau pia next week una game na Barca
Arsenal miaka yote ni serious contender tofauti iliyopo ni kuwa wale contenders wenzake wamechoka
Kawaida ya wapi na lini mpwa kua Arsenal anafungwa na Barca alafu anavurugika?usilete nadharia njoo na habari yenye ushahidi mambo ya kupiga ramli usituletee.Kawaida ya barca amkimchapa arsenane timu nzima inavurugika wanarudi kusaka nafasi ya nne as usually
Media zingekuwa zina play part kubwa, Arsene Chenga angekuwa ameshasahaulika.sijawahi kuona kocha anapewa mpera mpera katika SOCIAL MEDIA na Media House uingereza kama LVG nadhani hii ni zaidi ya ile ya David MOYES
Huyu mzee sijui kama analala afu usingizi unakuja
Kuna presha ya hatari sana wiki hii mpaka next week nadhani LVG itakuwa Bye bye....
Media zinaplay part kubwa katika Sacking pressure ya LVG
Aje tu. Tumeshachoka na huyu babu.Reporter: "Is Mourinho returning to inter?"
Inter director Bedy Moratti: "No, he's happy now he's going to United"
@welcomemourinho
#GGMU - - - - Gongwa Gongwa Man Utd. hahahahahahahahahahahahaha
Media zingekuwa zina play part kubwa, Arsene Chenga angekuwa ameshasahaulika.
Unaweza kuhisi LvG anakosa usingizi, kumbe mwenzio anachekelea tu huku akielekea benki. Media zinamsimanga wewe, lakini mpunga anavuta..
Reporter: "Is Mourinho returning to inter?"
Inter director Bedy Moratti: "No, he's happy now he's going to United"
@welcomemourinho
sasa wanasubiri mechi tatu hizo ili kuprove nini...kwamba kwa mechi tatu hizo LVG au benchi lake la ufundi na wachezaji watabadirika...!!! LVG kaishafika mwisho, mipango yake imegoma sio mbaya kumpa timu mtu mwingine na hii haimanishi ni manager mbaya hapana sema approach aliyokuja nayo MUFC imegoma kuwork out sometimes managing a team is like gambling ukipatia unabutua ukikosea ndio hivyo lawama zote zinakuangukiaManager Louis van Gaal will be sacked if his Manchester United side lose to Shrewsbury in the FA Cup on Monday.
And Jose Mourinho has rejected the chance to rejoin Inter Milan, because his heart is set on taking over at Manchester United.
Link Gossip column: Van Gaal, Mourinho, Mahrez, Rooney, Terry
Media za UK? Muulize Mpayukaji Mou.
........huyu jamaa anatia hasira sn
........huyu jamaa anatia hasira sn
Ndugu yangu hapa umevuka mipaka kidogo, hii siyo fair,delete that picture......huyu jamaa anatia hasira sn