Fellain ni mchezaji muhimu sana kwenuSure tuone kipi kinatokea maana leo Fella baada ya watu kumpiga madongo kibao kocha leo hayupo hata kwenye bench
Umeongea point kashengoFellain ni mchezaji muhimu sana kwenu
Ana bully sana Opponent Midfielders
Na kila akitolewa Timu pinzani huanza kuwa dominate katikati
Fellain ni scape goat ya bad results kwa manure but jamaa anajituma sana...
watu wa mtaani wanasema "ANAKATA UMEME"
Fans ni watu wa kukaririUmeongea point kashengo
Fella ni mtu mmoja mzuri na muhimu sana katika ku haribu mipira ya wapinzani hasa zaidi timu zinazopendelea ku dominate possession. Huonekana kucheza rafu nyingi (kinachowakera wengi) sababu anatumia zaidi nguvu na urefu wake ila ni mchezaje anayeongeza nguvu pale kati japo sijui kwanini fans wengi huwa hawapendi kumuona akianza labda ya hofu ya timu kucheza pungufu iwapo atachezea kadi mbili maana kila akicheza nahisi hata referees huwa wanaliandika jina kabisa wakijua hatokosekana kwenye booking
Kuna uzi wanoa bet. Tafuta huo uzi.Wadau mimi ni Manchester United damu... Sio mgeni umu ila nataka mnisaidie maana nilibet. Mbet hela wameichukua ila wanasema nimekosea
kama unaona unaonewa hama timuYaani dakika ya tatu tumelizwa imekaaje hii?
kama unaona unaonewa hama timu
Yaani dakika ya tatu tumelizwa imekaaje hii?
Mkuu hamia ligi ya China kwa mkopoYaani dakika ya tatu tumelizwa imekaaje hii?
Hali mbaya aisee. Tunafika golini halafu tunazinguaSure tuone kipi kinatokea maana leo Fella baada ya watu kumpiga madongo kibao kocha leo hayupo hata kwenye bench