TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,563
Le mee ask you one question bro, why poch and not mou?
Huyu dogo ana kipaji ila mnatakiwa mumpe muda, kumfanya scapegoat haimjengi.Hapa Memphis alichemsha kutoa pasi...kulikuwa na wachezaji watatu wa United dhidi ya mmoja wa Chel$kis badala ya square pass yeye akapiga forward pass iliyompiga beki...
Poor defence unai-define vipi? Kwa mujibu wa takwimu: ni Spurs tu ndiyo wamefungwa goli chache 19. United na Goons wamefungwa goli 22. Ndiyo defence bora ya ligi baada ya Spurs.
Jiamini wewe, acha woga! Mimi nachangia kuhusu De Gea mimi kama mshabiki wa soka ninayemkubali, sasa povu la nini kuanzisha kuwa mi ni wakala wake?Tatizo kwa wewe shabiki wa Goons? Anyways, United ni kawaida kuwa na world class goalie. Akiondoka DDG, atakuja mwingine. By the way, wewe ni wakala wake ama? Maana inaonekana unazijua taarifa zake kuliko hata De Gea mwenyewe! Juzi hapa amekana huo uzushi na kusema ana furaha OT na anatamani acheze hapo kwa muda mrefu.
Ni wapi nimemfanya scapegoat? Kuongelea juu ya pasi aliyokosea timing ndiyo scapegoating?Huyu dogo ana kipaji ila mnatakiwa mumpe muda, kumfanya scapegoat haimjengi.
Unaposema Wenger hana mafanikio mnakosea, historia itamkbuka daima kwa msingi wa empire aliyoijenga na atakayoiacha.Lol, ndio mlivo watoto wa kipulilo, wenzenu mkiwauliza mafanikio makubwa utaambiwa uefa ama treble, nyie mnakimbilia invincible
Magoli katika soka kwa asilimia 99 ni makosa ya mabeki. Ndiyo maana kuna usemi "soka ni mchezo wa makosa". Sasa huwezi kutoa a conclusive statement kutokana na kosa hilo na kusema United ina poor defence.Umeliona goli alilofungwa De Gea?
Ni ujinga wa mabeki wake wa kati,,,
Wangekuwa makini wasingeruhusu ule mpira kukatisha,,,,
Point yangu kuna mda mabeki wanamuangusha kipa na ndo ninachokiona kwenu
Haujawa direct, ila umemlaumu, huo ndo ukweli.Ni wapi nimemfanya scapegoat? Kuongelea juu ya pasi aliyokosea timing ndiyo scapegoating?
Braza vipi, mbona hueleweki!
Kwa hiyo kwa kuwa Suarez na Ronaldo walisema basi kila mchezaji akisema ana furaha ndiyo alama ya kuonyesha ataondoka? Wachezaji wangapi wameshawahi kusema wanafuraha kwenye timu na hawajawahi kuondoka?Jiamini wewe, acha woga! Mimi nachangia kuhusu De Gea mimi kama mshabiki wa soka ninayemkubali, sasa povu la nini kuanzisha kuwa mi ni wakala wake?
Kama ni kuwa ana furaha, hata Suarez na Ronaldo walisema wana furaha kisha wakasepa.
Braza, niliandika hivi: "Hapa Memphis alichemsha kutoa pasi...kulikuwa na wachezaji watatu wa United dhidi ya mmoja wa Chel$kis badala ya square pass yeye akapiga forward pass iliyompiga beki..."Haujawa direct, ila umemlaumu, huo ndo ukweli.