Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
mkuu,kuna viashiria vingi vya hatari,kwa muda sasa city wamekuwa na maamuzi bora dhidi yetu,ni dalili mbaya hizi,amini nakuambiaHilo la kuwa kama Liverpool ni ngumu chifu. Kilichowaponza Liverpool ni 'umaskini'. Mpira wa sasa ni pesa tu: kwa kutumia pesa unaweza 'kununua' ubingwa. Kama walivyofanya Rent Boys na Man Shitty. Unanunua wachezaji walioiva tayari, unawatafutia na kocha mzuri.
Angalia returns za maamuzi yao, kisha useme tena ulichokisema. Ni sawa na returns za Real Madrid ukilinganisha na maamuzi na walivyowekeza.mkuu,kuna viashiria vingi vya hatari,kwa muda sasa city wamekuwa na maamuzi bora dhidi yetu,ni dalili mbaya hizi,amini nakuambia
nisipo mwona Morgan roho yangu haitulii kabisa sijui kitatokea nini leomufc XI: De Gea, Darmian, smalling, Blind, Borthwick-Jackson, Fellaini, Carrick, Lingard, Mata, Martial, Rooney.
Fellain over Morgan once again,
leo kati wapo fellain na carric, sijui nini kitatokea!! nikimwona martial, japo hatacheza kama final striker, ila kidogo inatia moyonisipo mwona Morgan roho yangu haitulii kabisa sijui kitatokea nini leo
we jamaa hiki kikosi chako vp mbona Morgan ameanza aisemufc XI: De Gea, Darmian, smalling, Blind, Borthwick-Jackson, Fellaini, Carrick, Lingard, Mata, Martial, Rooney.
Fellain over Morgan once again,
Umekiona wapi?we jamaa hiki kikosi chako vp mbona Morgan ameanza aise
Weka ulichokiona wewewe jamaa hiki kikosi chako vp mbona Morgan ameanza aise
Huyu kocha huwa anafikiria nini aiseemufc XI: De Gea, Darmian, smalling, Blind, Borthwick-Jackson, Fellaini, Carrick, Lingard, Mata, Martial, Rooney.
Fellain over Morgan once again,
Wewe ndio unashangaza mkuu match haijaanza na X1 ndio hiyo hiyo iliyowekwa hapo juuwe jamaa hiki kikosi chako vp mbona Morgan ameanza aise