Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Teeeeeeheee teeeeehe kwa hiyo wale wazaramo waliomsema mwizi hadi kufa walichukua kozi kwako teeeeehe teeehe breaking news LVG signed a new 3 years contract stay tunedHahahhhahahha jana nilikuwa na kazi moja tu nimepanda kabisa kny kurasa zote za Man U hadi e-mail nimeandika barua nzito kama ya yule shabiki wenu aliyeandika kipindi kile cha Brendan,nimechamba mzaramo nyumaaaa na yai langu bovu la kiTz hivyo hivyo watapata message.
hahaha.. nmefurahi sana Manyau kufungwa....na kidomodomo chao, wametuliaaaa.Haha Leo mmezibuliwa, and many more still to come.
hahaha.. nmefurahi sana Manyau kufungwa....na kidomodomo chao, wametuliaaaa.Haha Leo mmezibuliwa, and many more still to come.
Mkuu wangu RRONDO tatzo la timu yetu ni kubwa zaidi ya tulionavyo, tatzo lenyewe linaanzia kwenye bodi hata kabla hatujafika kwa van gaa, bodi hii hii ilikubali SAF na D.Gill waondoke kwa pamoja huku wakimteua woody ambaye hana elimu yyte ya mpira achilia mbali michezo kwa ujumla,
Alipewa rungu la ku-controll each and everything concerning MUFC ikiwa ni pamoja na transfer and the world famous our academy ( kumbuka hatuna DoF na huyu jamaa profession yake ni mwanafizikia, physicist japokua alikua anafanya kazi kama accountant.)
Toka kapewa hayo majukumu, Brian mclair ambaye ndie aliyekua anaongoza academy yetu aliachia ngazi ni zaidi ya Mwaka sasa na bado hajawa replaced and our academy is currently being run by the club secretary, no wonder kwann academy yetu sio productive kama wengi tudhaniavo.
Juzi juzi tu hapa about two weeks ago our academy head of recruitment Derek Langley katangaza kuachia ngazi mwishoni mwa msimu sitashangaa nae asipotafutiwa mbadala.
Kuna kipindi ( nadhani tulivopoteza kwa Norwich) THE SUN walitoa article yao moja wakawa wanasema van gaal kaomba Ku resign zaidi ya Mara mbili lakini woody alimkatalia sikutilia sana maanani maana ni THE SUN, lakin Jana media nyingi zimeandika hivo ikiwemo na guardian
Louis van Gaal offered to resign as Manchester United manager on Saturday
Na sababu kubwa ya woody kukataa ni urafiki wake na van gaal pia ikumbukwe ni yeye aliyependekeza jina la van gaal baada ya kumtimua Moyes hivo anaogopa kupoteza imani kwa board kuonekana kafeli.
Woody & Glazzers wenyewe ni watu wa biashara so what matter to them is developing commercial opportunities na kwa hilo wamefanikiwa saaana but we need a couple of football people involved somehow.
Woody kuongea na senior players it can't help, how many senior players do we have? Only Rooney and carrick ( Bastian is exception) kwa kiwango anachokionesha Rooney kwa sasa na still anaaminiwa na van gaal tusitegemee kama atamuongelea mabaya and he is our captain so don't expect anything in return.
Labda mwishoni mwa msimu ndio ataondoka au pale ambapo itaonekana kabisa mathematically we are out of top four ndio watampa timu Giggs hii itakua sawa na pale mnapojua mgonjwa sasa hawezi kupona tena ndio mnambadilishia dokta.
Kuhusu transfer market napo tupo ovyoo, nikikumbuka saga la Herrera, fabregas, etc nachoka aisee, fellain buyout clause yake ilikua £23.5 mill sisi tulitoa £27.5 mill sijui ilifika fika ukoje,Kushindwa ni tabia kama ilivyokushinda, nahisi sasa mdogo mdogo tunaanza kuadapt tabia ya kushindwa, hakuna jipya kabisa kwenye bench la MU, yahani hata timu ikizidiwa unawaza substitutions zitakuwaje, maana hamna mtu wa kubadirisha matokeo walionza first 11 na reserves wote wale wale huoni mchezaji atakaeingia na kubadiri mchezo, tunavyocheza ni very predictable hata African Lyon wanaweza kutukazia, lots of backpasses and sideways hakuna tena attacking and through balls tulizozizoea.
NINI KIFANYIKE: sack LVG immediately replace him with aggressive manager like Jose au Simione (ingawa nafikiri ni kazi kumpata kwa kipindi hiki mpk labda majira ya joto ligi zikiisha) wakati huo Giggis epewe kazi ya kurudusha manchester style na spirt.
Piga chini Ed Woody fala hajui kuendesha timu, kwanza ni awful when it comes to negotiation of big transfer deals ye analeta left overs tu mwisho Furgerson awe sehemu ya ushauri wa timu
Nzur tu, niko bize kampeni ya ondoa Chelsea nafasi ya 14.Aiseeeee best angu nimevurugwa sana mpka nimekusahau......Ila na wewe umepotea mnoooo!!!! Habari za siku mingi
mbali na Makocha kufanya vibaya siku hizi Social network zimeongeza presha maradufuKuhusu transfer market napo tupo ovyoo, nikikumbuka saga la Herrera, fabregas, etc nachoka aisee, fellain buyout clause yake ilikua £23.5 mill sisi tulitoa £27.5 mill sijui ilifika fika ukoje,
Ngoja tusubiri tuone wataongea nini leo, de telegraaf wanasema van gaal kisharudi tayari England atakua na kikao baadaye na Edd woody baada ya Jana kuongea na Senior players, but don't expect anything +ve from that F**ing meeting.
Manchester United's Memphis Depay returns to PSV
source:
Manchester United's Memphis Depay returns to PSV - Goal.com
Si wamesema ameenda kuaga rasmi???!
Kwaio 7 anaiacha United???!!!yeah.. ameenda kuaga, at first nilijua karudi moja kwa moja
Nitamiss sana Beki wetuVidic at utd
300 games,
21 goals,
5 PL titles,
3 League Cups,
1 CL
#legend