Manchester United (Red Devils) | Special Thread

8 minutes bila bila .... .... loser fools wanagongeana vizuri naona wameanza kwa munkari ... .... ....
 
Guys kick off ndio hiyo sasa tuone leo itakuwaje ila hopeful tutafanya vizuri tu,
 
Habari zilizoingia hapa JF ni kwamba Tor The Res anakodolea huu mpambano na amejifungia nyumbani kwake hataki mafioso Team wajue kwamba bado ana upendo na timu yake ya zamani .... ... ... khe khe kheeeeeeeeee Smalling anaokoa kutoka kwa Kuyt ndani ya box ... ... 13 minutes .... ... kona loser fools 15th minutes ....
 
Guys kick off ndio hiyo sasa tuone leo itakuwaje ila hopeful tutafanya vizuri tu,


Ulikuwa wapi unadanganya watu hapa kick off long time .... ... Berba anakosa hapa bonge ya kick mwamba ... ...
 
Duuuh.......mwamba umewatoa Liver...Berbatov kawakosa....it was a super shot....
 
Khe khe kheeeeeeeee Manure wameponea tundu la sindano hapa naona wanamkosa Vidic hapa ....... ... 20 minutes and counting .. ... ....
 
Wacha1 boy....
Punguza mzuka kijana..hawa wetu.
 
Guys wala msiwe na pupa hii game lazima tu win hata iweje......
 
nnaomba link waungwana

Sorry I'm on Sky sports .... .

Wacha1 boy....
Punguza mzuka kijana..hawa wetu.


Khe khe kheeeeeeeeeeeeeee karibu mkuu naona kona hiyo mnapoteza .... .... .. Loser fools wameanza kwa kishindo .. ..

Loser fools change Fabio Aurelio kaumia ... .. Sotirios Kyrgiakos anaingia .. ..... siyo Carrol wote wana pony tail khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wacha moja, jumanne basi fanya kama leo, tunakuwa wte mguu kwa mguu. Gud boy!
 
Sorry I'm on Sky sports .... .




Khe khe kheeeeeeeeeeeeeee karibu mkuu naona kona hiyo mnapoteza .... .... .. Loser fools wameanza kwa kishindo .. ..

Loser fools change Aurariol ... .. carol anaingia ....anaingia .. .....

Wameona mambo magumu ndio maana....changes zinafanyika kipindi cha kwanza sio mchezo......
 
Mtu wa pwani...

pole kaka, mie link alishawai nigea Arsene Wenger wa JF bht mbaya ziko kwa. PC hm....unless u retrieve post za huyu jamaa utakuta link hzo
 
Nani na Surez ngumi mkononi refa anaongea nao khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Kona kwa Loser fools .. ... 31 minutes ...
 
Khe khe khe Surez kawazunguka wachezaji wa Manu lukuki khe khe kheeeeeeeeeeeeeee
 
Mpira unadunda matokeo yatakuwa tofauti tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…