Unafaa uwekwe kwenye kamati ya ufundiWatu weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee katika siku nimesali kwa ajili ya timu yangu ni leo yaani nikasema Hata kamoja tu ka kufutia machozi kwa point tatu,asante Mungu ,yaani nilikuwa nachanganyikiwa kila nikiona on target 0, nimeruka km ndama hapa nilipo na nikapona kabisaa............. Liverpool work done tuonane msimu ujao.......... #GGMU
Hahaha ningesikiliza ushauri wako wa jana ... sasa hivi nisingekuwa na hela ya rent lol...
Unajua dhidi ya Loserfools msimu huu, United katika games zote mbili ilikuwa na 4 shots on target na 4 goals....that is the definition of BEING EFFICIENTMagoli yenu ya kindondokela. 1 shot on target mechi nzima afu mnashinda.
Yes, ikiwezekana hata Leo usiku
Wala hakuna haja ya kuwa na madigrii kutambua kuwa Fellaini ni more useful akiwa mbele...Fellain Impact......
Rooney scored
Hilo lipo wazi kabisa....Wala hakuna haja ya kuwa na madigrii kutambua kuwa Fellaini ni more useful akiwa mbele...
Asante sana kaka yangu......... Poyeee my kaka take it easy.
Tehteh ungeipotezea 3 ukafata 1 yako. Hapa Leo inapita maji Tu ya kunywa.Hahaha ningesikiliza ushauri wako wa jana ... sasa hivi nisingekuwa na hela ya rent lol...
Pep in ......
Muone Jones wakati anashangilia goliMliwaona Rojo na Jones wakiwa kwenye away end?
hahahahhahaa kwa hiyo majogooo wamefanywajeeee?Watu weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee katika siku nimesali kwa ajili ya timu yangu ni leo yaani nikasema Hata kamoja tu ka kufutia machozi kwa point tatu,asante Mungu ,yaani nilikuwa nachanganyikiwa kila nikiona on target 0, nimeruka km ndama hapa nilipo na nikapona kabisaa............. Liverpool work done tuonane msimu ujao.......... #GGMU
rooney fundi sio kama yule mholanzi......siku hizi sijisikii hata kumtaja jina ha ha haNashukuru sana Rooney
Hahahaha yamekuwa hayo tenarooney fundi sio kama yule mholanzi......siku hizi sijisikii hata kumtaja jina ha ha ha
Nikiacha unafki nimejikuta tu nashangilia goli la RooneyWatu weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee katika siku nimesali kwa ajili ya timu yangu ni leo yaani nikasema Hata kamoja tu ka kufutia machozi kwa point tatu,asante Mungu ,yaani nilikuwa nachanganyikiwa kila nikiona on target 0, nimeruka km ndama hapa nilipo na nikapona kabisaa............. Liverpool work done tuonane msimu ujao.......... #GGMU
Longtime kumbe upo?rooney fundi sio kama yule mholanzi......siku hizi sijisikii hata kumtaja jina ha ha ha