Manchester United (Red Devils) | Special Thread

yeah ngoja nitafute replay inayoonesha position ya refa wakati huo labda...!


So kwa maana nyingine unakubaliana nami kuwa in reality sio penalty ila kwa kuwa refa ni binadamu na hatuna replay decisions basi ipite tu...right!??
 
yeah ngoja nitafute replay inayoonesha position ya refa wakati huo labda...!


So kwa maana nyingine unakubaliana nami kuwa in reality sio penalty ila kwa kuwa refa ni binadamu na hatuna replay decisions basi ipite tu...right!??
Kwa mtazamo wangu hii ni clear penalt,kuna baadhi ya maamuzi ni ngumu sheria kuamua so refa anategemea
1.Ushauri kutoka kwa linesman
2.Jinsi wachezaji watakavyo-react baada ya tukio kutokea
 
Dah!!!! sijui hata nisemeje anyway GGMU........

_
Yan Smalling anachomesha! huko afu mtani Eva utakuja kusema LVG out, jamani!! tuweni wakweli2 apa nani anastahik lawama? alie chomesha au kocha! ,, IV MTAFUKUZA MAKOCHA WANGAPI kw sbb ya matokeo mabovu wakati wachezaj wenyewe wanashindwa kuzitumia nafac vizur!? km hali itakua hiyo ata akija MOURINHO itakua ndo yale yale tu. Chamsingi Wachezaji kujielewa kuwa wapo MAN UTD
_
Maoni yang LVG arekebishe kdg kwenye ulinzi coz DEGEA anapata kazi kubwa hadi namuonea huruma
Hongera yng kw baba Kai, taratibu kw kurejesha kiwango chake,,
 
LVG out tu kwa kuwabana wachezaji uwanjani wanastik na position zao tu wanakuwa si huru,hilo tu na kuwachezesha nafasi ambazo siyo zao kuwaweka wachezaji Benchi wale ambao ndo walitakiwa kubadilisha matokeo anashauriwa hashauriki...Ila mengine kazi yake ni njema sana tu.....marekebisho ni madogo ila yeye anayafanya kuwa Makubwa.
 
Aisee mechi 11 tumeshinda 2 tu, but we have to be happy, we won two in a row
_
MI BADO NASISITIZA manyumbu amna sbb ya kumlaumu LVG,, Wachezaj wenyewe ndo wanapaswa kulaumiawa.ki Vipi mumlaumu LVG! wakati Jose LINGARD anashindwa kufunga bao lawazi kabisa nafasi ambayo ata cute b anafunga LINGARD atakama amefunga bao moja lkn anastahik lawama kw kukosa nafac ile ya wazi
_
Ki Vipi mtamlaumu LVG! wakati FELLA amekosa bao la wazi la kichwa dkk ya 84, hii gemu ingeli ishia ple lkn amepiga kichwa km sio professional player,, Fella anastahil lawama.
 
Umeang


Was this a handball really!?????
Umeangalia hii game?? Huyo defender tangu corner inapigwa alikuwa hajui mpira uko wapi ila alikuwa anainua mkono kutaka ku block mpira....just go and watch the replay.
 
Wasn't it ball to hand?

Hakuwa akiuangalia mpira!
Hakuwa anaangali mpira ila alikuwa anainua mkono ku block mpira,mkono wake ulikuwa hewani muda mrefu kabla ya mpira kufika,it was intentional.
 
Fellain toka game na Wolfsburg anazingua kuna haja gani ya kumkomalia aanze? (Tumlaumu fellain kwa kuanza au tumlaumu van gaal kwa kumuanzisha?)
 
After the tedium came the thrills as Manchester United shrugged off their 'boring' tag by playing their part in a 3-3 draw with Newcastle at St James' Park.

Is Rooney back?
He can at least take some comfort in the flickering of form from his much-maligned captain. Rooney has now scored four goals in his last three appearances for United. Two have been penalties but the other efforts have showcased his deft touch - the back-heeled flick with his left foot against Swansea - and his powerful finishing. Against Newcastle, the latter looked to have won the game.

Pace or control?
The decision to drop Juan Mata was explained by the need for "speed on the wings" and that's what Van Gaal got with Lingard and Anthony Martial. The former made more sprints than anyone else during his time on the pitch, while the latter was the game's fastest player having been clocked at 35.4 kilometres per hour. They looked dangerous and Lingard, of course, came up with a goal.

Lingard's energy
Jesse Lingard made 55 sprints for Manchester United - 10 more than anyone else on either side during his time on the pitch.
The team's total of 10 chances created was a joint-high away from home but that creativity came at a cost - it's also the first time they've conceded three in the Premier League since the trip to Arsenal. Substitute Memphis Depay summed up the situation by playing a part in Rooney's second but then failing to provide cover for the equaliser. This is not the control that Van Gaal craves.

Nzi please read carefully....

Can Fellaini be trusted?
One man who rarely gives that impression of being in control is Marouane Fellaini and this was another display from the Manchester United midfielder to baffle and bemuse. Supporters seem reluctantly prepared to accept the idea of him as a one-man Plan B - toss it to the big man and hope for the best - but remain rather less convinced by him in a deeper role. It's easy to see why.

Fellaini's fouls
Marouane Fellaini committed four fouls - more than any other player in the match.
Fellaini committed four clumsy fouls in the opening half an hour but he couldn't cope with Georginio Wijnaldum and might have been sent off when appearing to kick out at Fabricio Coloccini having been booked. He had a role in goals at both ends and his header should have finished it at 3-2 but he couldn't do it. Unfortunately, the feeling that Fellaini can't do it is now unlikely to ever fully go away.

Who is the No 10?
While Fellaini might be better in an attacking midfield role, he isn't the answer there either. But who is? Ander Herrera was preferred to Mata in that position at Newcastle and played a quality pass to Rooney for his team's second goal. The Spaniard also showed remarkable awareness to feed Lingard after the break for a chance that could've restored their two-goal advantage.
 
Fellain toka game na Wolfsburg anazingua kuna haja gani ya kumkomalia aanze? (Tumlaumu fellain kwa kuanza au tumlaumu van gaal kwa kumuanzisha?)
Siku Fellaini akianza ni shida tupu,hawezi kutoa accurate passes,anacheza rafu zisizo na ulazima wowote, ni LVG tu anajua huyu jamaa anafanya nini uwanjani!
 
RRONDO kama ulimsikia commentator wa BT Sport jana, alisema kile nilichokisema hapa. Fellaini anafaa zaidi akicheza kwenye forward line na siyo kama defensive midfielder. Hawezi hiyo kazi; ndiyo maana alikuwa too clumsy na kufanya fouls zisizo na maana. Commentator alisema Fellaini ndiye anaongoza kwenye ligi kwa ku-chest down mipira kwenye forward line.

Nitaendelea kumtetea as long as anapangwa out of his favorite position. Na ninamlaumu LVG kwa hili.
 
Na mimi kila siku namlaumu LVG kwa kumpanga huyu mtu.....ni wazi anaharibu sana ila yeye tu ndio haoni.
 
Na mimi kila siku namlaumu LVG kwa kumpanga huyu mtu.....ni wazi anaharibu sana ila yeye tu ndio haoni.

Nimesoma mahali...mechi zote alizocheza Fellaini Man utd haijapoteza hata moja wapo!
 
Na ile ya Chelsea msimu uliopita, walipofungwa na Hazard.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…