Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Jan 13, 2016 #43,001 rubaman said: Wenyeji mmekimbia baada ya Newcastle kusawazisha? Click to expand... Nipo hapa
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Jan 13, 2016 #43,002 Pamoja na kubebwa na mbeleko, mtajuta!
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,913 Reaction score 10,263 Jan 13, 2016 #43,003 rubaman said: Wenyeji mmekimbia baada ya Newcastle kusawazisha? Click to expand... Na wewe unaonekana baada ya Newcastle kusawazisha?
rubaman said: Wenyeji mmekimbia baada ya Newcastle kusawazisha? Click to expand... Na wewe unaonekana baada ya Newcastle kusawazisha?
rubaman JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 4,983 Reaction score 3,084 Jan 13, 2016 #43,004 Th Name said: Nipo hapa Click to expand... Kina Nzi, Belo na wengine wanaonekana hapa baada ya mechi....
Th Name said: Nipo hapa Click to expand... Kina Nzi, Belo na wengine wanaonekana hapa baada ya mechi....
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,382 Reaction score 10,951 Jan 13, 2016 #43,005 Hapa ndipo LVG anakuwa kichaa...utamtoaje Herrera na kumwacha Fellaini mwenye kadi ya njano! Na Herrera amedictate game vizuri sana leo.
Hapa ndipo LVG anakuwa kichaa...utamtoaje Herrera na kumwacha Fellaini mwenye kadi ya njano! Na Herrera amedictate game vizuri sana leo.
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Jan 13, 2016 #43,006 rubaman said: Kina Nzi, Belo na wengine wanaonekana hapa baada ya mechi.... Click to expand... Usiku huu wengine wamelala
rubaman said: Kina Nzi, Belo na wengine wanaonekana hapa baada ya mechi.... Click to expand... Usiku huu wengine wamelala
JOAQUEM JF-Expert Member Joined Jul 28, 2012 Posts 2,020 Reaction score 1,673 Jan 13, 2016 #43,007 2-3 Mtanange unaendelea
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Jan 13, 2016 #43,008 Roooooney goaaaaaal
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Jan 13, 2016 #43,009 80' Newcastle 2-3 Manchester united
rubaman JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 4,983 Reaction score 3,084 Jan 13, 2016 #43,010 Great goal. Naona Rooney siku hizi anaweka sign so called "free-mason/Illuminati" kila anapofunga goli.
Great goal. Naona Rooney siku hizi anaweka sign so called "free-mason/Illuminati" kila anapofunga goli.
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,786 Reaction score 35,747 Jan 13, 2016 #43,011 Th Name said: Roooooney goaaaaaal Click to expand... Duuuuh hata siamini, naona kaokoa jahazi!!! wapi Wacha1
Th Name said: Roooooney goaaaaaal Click to expand... Duuuuh hata siamini, naona kaokoa jahazi!!! wapi Wacha1
rubaman JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 4,983 Reaction score 3,084 Jan 13, 2016 #43,012 Leo LVG hatolaumiwa.
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,382 Reaction score 10,951 Jan 13, 2016 #43,013 Doh! Kwa mara ya kwanza namwona LVG kwenye touchline naona anahitaji sana ushindi hapa. Pengine ni mwanzo wa kubadili misimamo yake ya ajabu
Doh! Kwa mara ya kwanza namwona LVG kwenye touchline naona anahitaji sana ushindi hapa. Pengine ni mwanzo wa kubadili misimamo yake ya ajabu
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Jan 13, 2016 #43,014 Upepo wa Pesa said: Duuuuh hata siamini, naona kaokoa jahazi!!! wapi Wacha1 Click to expand... Ngoja tuone kama atakuja huyo
Upepo wa Pesa said: Duuuuh hata siamini, naona kaokoa jahazi!!! wapi Wacha1 Click to expand... Ngoja tuone kama atakuja huyo
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Jan 13, 2016 #43,015 everlenk njoo basi huku Wine Romney anafanya vitu vyake khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
JOAQUEM JF-Expert Member Joined Jul 28, 2012 Posts 2,020 Reaction score 1,673 Jan 13, 2016 #43,016 rubaman said: Leo LVG hatolaumiwa. Click to expand... Hata tukishinda hii game LVG anahitajika kubadilisha misimamo yake ya ajabu ajabu
rubaman said: Leo LVG hatolaumiwa. Click to expand... Hata tukishinda hii game LVG anahitajika kubadilisha misimamo yake ya ajabu ajabu
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,786 Reaction score 35,747 Jan 13, 2016 #43,017 Nzi said: Doh! Kwa mara ya kwanza namwona LVG kwenye touchline naona anahitaji sana ushindi hapa. Pengine ni mwanzo wa kubadili misimamo yake ya ajabu Click to expand... Sifwatilii gemu, vipi leo kasimama??? au kakaa akiandika kama kawaida yake??
Nzi said: Doh! Kwa mara ya kwanza namwona LVG kwenye touchline naona anahitaji sana ushindi hapa. Pengine ni mwanzo wa kubadili misimamo yake ya ajabu Click to expand... Sifwatilii gemu, vipi leo kasimama??? au kakaa akiandika kama kawaida yake??
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,382 Reaction score 10,951 Jan 13, 2016 #43,018 Memphis anaanza kukua....
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,382 Reaction score 10,951 Jan 13, 2016 #43,019 Upepo wa Pesa said: Sifwatilii gemu, vipi leo kasimama??? au kakaa akiandika kama kawaida yake?? Click to expand... Alisimama kwa muda...na arukaruka pale wachezaji wanapokosa magoli...seems to be desperate kwa ushindi
Upepo wa Pesa said: Sifwatilii gemu, vipi leo kasimama??? au kakaa akiandika kama kawaida yake?? Click to expand... Alisimama kwa muda...na arukaruka pale wachezaji wanapokosa magoli...seems to be desperate kwa ushindi
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,382 Reaction score 10,951 Jan 13, 2016 #43,020 Siyo uongo aisee Rooney kaanza mwaka 2016 vizuri...leo kacheza kama Rooney...lakini pia kwa sababu yupo dynamic sana leo...siyo kubanwa katika position yake
Siyo uongo aisee Rooney kaanza mwaka 2016 vizuri...leo kacheza kama Rooney...lakini pia kwa sababu yupo dynamic sana leo...siyo kubanwa katika position yake