Charlie Nicholas says Manchester United are in a worse place now under Louis van Gaal than they were under David Moyes.
United hit the bar and post but failed to find the net in the goalless draw against Chelsea earlier in the week in what was regarded as a much-improved performance by Van Gaal's side, who have gone eight matches without a win.
Moyes endured a torrid first season at United in 2013/14 having taken over from Sir Alex Ferguson, and was sacked in April as United eventually finished seventh having won the title in 2012/13.
Manchester United worse now than under David Moyes, says Charlie Nicholas
Facts za uwanjani zinaonesha man utd sasa hivi iko vibaya kuliko wakati wa d. moyes hasa ukitilia maanani kiwango cha pesa kilichotumika. maneno haya[facts] hizi zikiongelewa na fergie au pundit yeyote hazibadiliki.Mkuu Charlie Nicholas ni Pundit hajawahi kuwa Kocha, hajui ugumu wa kumanage Club kubwa....
kuna tofauti kubwa sana ya kuongea kwenye TV na kuwa Kocha live unaona ugumu wake.....
Garry Neville toka ajiunge Valencia HAJASHINDA GAME hata moja katika Game 5 alizokuwa kocha....ila alivyokuwa Pundit alikuwa anaona RAHISI SANA....teh teh teh teh
saivi nae wanamfanyia Analysis na akizidi kuboronga wata MFIRE arudi kwenye Upandit...
LVG is a joker.....VAN GAAL CONSIDERS NEW STRIKER TO SOLVE MANCHESTER UNITED GOAL WOES
By Daniel Edwards
Misfiring strike duo Wayne Rooney and Anthony Martial have hit the net just six times in the Premier League, and the manager confesses new blood might be necessary
Louis Van Gaal has admitted he is considering bringing in new strike talent to solve Manchester United's lack of potency in front of goal, while asserting that it is not the only option.
After letting Robin Van Persie and Javier Hernandez go in the summer, Van Gaal's has seen his side struggle desperately for goals.
But the manager believes that Anthony Martial and Wayne Rooney can succeed, despite scoring just six times so far in the Premier League.
"I think that we need also the luck of a striker," said Van Gaal.
"There are several players who played in the striker's position. They need luck. How many players have had chances to score and why didn't they score? You cannot always explain that.
"We're always looking for solutions in the team, but we still have a good team and we can still score goals. I'm convinced of that. But we also need a little bit of luck."
READ MORE | Man Utd to offer £35m for Felipe Anderson
While recognising that a big-name forward could enter in January, Van Gaal insisted that those already in the team were good enough to succeed.
"It can be solved with money, but also on the training pitch. We're training, but scoring goals is a quality," he said.
"We have that quality, but at this moment there's a lack of confidence at the right time or we need to buy another striker.
"It's always like that."
When questioned on the exits of Van Persie and Chicharito, who has been in electric form for Bayer Leverkusen, he affirmed he let them go to encourage his first-choice strikers.
"I don't believe too much in competition," he explained.
"I believe in trust and confidence. Maybe that's wrong, but I have done it all my life as a manager. I give trust to the players.
"We could have kept all the strikers, but then there would have been a lot of strikers in the stands. They're not happy then, they want to leave. It's the story of Hernandez, for example. He wants to play, but I can imagine that he can't always play.
"Too many strikers of high quality for the same position is too much pressure, but now I don't have the chance to change. Now I have given confidence to the players to play there."
Facts za uwanjani zinaonesha man utd sasa hivi iko vibaya kuliko wakati wa d. moyes hasa ukitilia maanani kiwango cha pesa kilichotumika. maneno haya[facts] hizi zikiongelewa na fergie au pundit yeyote hazibadiliki.
Facts za uwanjani zinaonesha man utd sasa hivi iko vibaya kuliko wakati wa d. moyes hasa ukitilia maanani kiwango cha pesa kilichotumika. maneno haya[facts] hizi zikiongelewa na fergie au pundit yeyote hazibadiliki.
Naona umeongea kwa kutia huruma baada ya mjadala wa vikombe vya UCL kuletwa...Roma wasn't built on one day. London, Berlin and Jerusalem were destroyed several times. Hata Arsenal tutafika.
Kama sikosei na wewe ulikuwa unalilia Moyes afukuzwe kazi. Sasa hivi unataka LVG pia afukuzwe, baada ya hapo utataka Giggs atimuliwe. Hili ndilo litakuwa tatizo lenu, mnadhani mtapata mtu mwingine kama Sir Alex haraka haraka. Makocha wa siku hizi kina Mourinho, Pep ni makocha wasiokaa sana katika timu moja kwa muda mrefu(historia yao inaonyesha) kama kina Sir Alex na Wenger .
RRONDO
huyo Charlie ndo anasema January arsenal wamnunua Carrick akazibe kwa Fransic Coquelin, huyo nae ni wonker....
lazima iwe hivi kwani mmetumia pesa nyingi in two years na kujaza wachezaji wengi sana....
Ina mgharimu sana LVG mambo makuu mawili hii Transfer fund aliyotumia, pili wingi wa Sura mpya unaifanya timu ikose Stability maana game zenu KOCHA MPAKA SASA hana First XI kabisa kwa kumtizama
tujue kuwa kununua Wachezaji wengi katika Dirisha moja mara zote HU BACK FIRE maana mpaka wanakuja Kujel msimu ushawaacha
wachezaji ukinunua usizidishe watatu wa kikosi cha kwanza vinginevyo Instability itakukumba, kuna mwaka QPR walinunua 11 players tena wa maana lakini Walishuka Daraja, spurs walipomuuza Bale walifidia na 8 players mpaka sasa aliyetoboa ni Bentaleb, Lamela na Enrikssen watano wameflop hatari, Liverpool wamefanya haya maujinga ya kununua msururu wa wa wachezaji lakini hakuna cha maana
mi naona kujaza Sura mpya nyingi ni SABABU MOJA YA MSINGI mnakosa instability, wachezaji bado hawajazoeana, hakuna Combination baina yao....
suala la kujaza LVG na Bodi ya man utd wote Wanachukua lawama hii....
Naona umeongea kwa kutia huruma baada ya mjadala wa vikombe vya UCL kuletwa...
Umenishawishi Mkuuwangu.
Haleluyaaa!!! Hata Man U tutafika..... Happy new year bro.Roma wasn't built on one day. London, Berlin and Jerusalem were destroyed several times. Hata Arsenal tutafika.
Haleluyaaa!!! Hata Man U tutafika..... Happy new year bro.