I know hukuangalia mechi,labda utuambie maana ya shoot on target.Manchester United amecheza vizuri dhidi ya Chelsea
90 Minutes.
1 Shoot on target.
Arsenal alicheza vibaya dhidi ya Southampton
90 Minutes
12 Shoot on target.
De Gea alikoa mashuti ya Pedro,Azpi na kichwa cha JT while TBO aliokoa shuti la Rooney na Herrera,Mata na Martial waligongesha mwambaManchester United amecheza vizuri dhidi ya Chelsea
90 Minutes.
1 Shoot on target.
Arsenal alicheza vibaya dhidi ya Southampton
90 Minutes
12 Shoot on target.
Hii status imenipa shock kidogo walitumia vigezo gani?Manchester United amecheza vizuri dhidi ya Chelsea
90 Minutes.
1 Shoot on target.
Arsenal alicheza vibaya dhidi ya Southampton
90 Minutes
12 Shoot on target.
Naona ulipotea sasa umerudi....Baada ya kutumia pesa ndefu £200Millions bado mnasuasua mid-table hahahaha.
Naona ulipotea sasa umerudi....
sasa unabisha nini hapo?! wakati shot on target ni hiyo ya Herera tu.De Gea alikoa mashuti ya Pedro,Azpi na kichwa cha JT while TBO aliokoa shuti la Rooney na Herrera,Mata na Martial waligongesha mwamba
Rooney hakupiga shuti TBO akapangua au na wewe umehadithiwa?sasa unabisha nini hapo?! wakati shot on target ni hiyo ya Herera tu.
Manure wabovu!' mshukuruni Dada Gea.
Sasa De Gea ashukuriwe Vipi wakati amesajiliwa kwa kazi hiyo?Gea post: 14983115 said:sasa unabisha nini hapo?! wakati shot on target ni hiyo ya Herera tu.
Manure wabovu!' mshukuruni Dada Gea.
Kumbe jina lingine unaitwa Gea!! Duhh!!!sasa unabisha nini hapo?! wakati shot on target ni hiyo ya Herera tu.
Manure wabovu!' mshukuruni Dada Gea.
Huyo jamaa kama siyo tineja, basi atakuwa KJKumbe jina lingine unaitwa Gea!! Duhh!!!
Kwa mara ya kwanza timu imecheza vizuri sijui tatizo ni kocha au wachezaji.
Baeleze wanaangali mpira ooops wanachikilizia npira kwenye redio khe khe khee khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeHii status imenipa shock kidogo walitumia vigezo gani?
huyo anatumia mchina!' unachanganya madesa ........... hongereni kwa droo.Kumbe jina lingine unaitwa Gea!! Duhh!!!
Rooney hakupiga shuti TBO akapangua au na wewe umehadithiwa?