Hapo ndipo naamini LvG anakumbana na upinzani....mwanzoni mwa msimu alikuwa akiwapanga hawa wachezaji, na matokeo yalikuwa mazuri...ila alipoanza tu kuvuruga timu na kubana uhuru wa wachezaji, mambo yakaenda kombo....kama ataendelea kubaki hadi mwisho wa msimu, nafikiri bodi inabidi ijadili naye upya juu ya philosophy yake, hususani katika kuwabana wachezaji...wachezaji kama Mata, Rooney, Herrera na Martial wanapenda kucheza huru uwanjani, na siyo ku-stick kwenye positions zao kama vile watoto wa miaka 5 wanaojifunza kucheza soka...
Dogo Martial ni balaa...yaani huyu mtu akipata striker atakayetengeneza naye partnership nzuri, huku Herrera na Mata waki-supply passes, hatashikika...yaani dogo ni bargain kabisa, Monaco inabidi wadai pesa zaidi...
Nzi kuhusu Depay nakubaliana Na ww Depay anaonekana mtoto WA kihuni kimalazi aliyokuwa nayo, ILA Martial jamaa ananguvu Na anaonekana adabu ya kiutuuzima anayo kwenye Soka Na Nje ya Soka jamaa, kukuza soka yake United wanahitaji Winger Ili Martial asimame Kati Number 9. Man U Leo kacheza mpira ukitegemea dk za Mwisho Chelsea walirizika Na point 1 wakati United walikuwa na hamu ya point 3.Naona kafurahishwa na jinsi wachezaji walivyoonyesha spirit ya kumpigania leo...hivyo kasema hakuna haja ya yeye ku-resign...
Kuna kauzembe kidogo kalitaka kufanywa na baadhi ya viungo wa Chelsea kitu ambacho kilifanya huyu Martial kuonekana lkn baada ya kulifanyia hilo kz Martial hakua tena msumbufu!
Rooney alistahili kadi nyekundu...kama ulisikilizia post match interview yake, amesema alimwomba msamaha Oscar pale uwanjani...Vipi? Rooney alistahili kadi gani kwa kumchezea Oscar faulo?
Martial angeenda Arsenal ndo ingemfiti zaidi, najua nimekuudhi, pole! Ila amekaa ki Arsenal Arsenal, kama King Henri vile kwa quickness yake alafu ni mfaransa.Nilivyoona line-up tu nilijua tutashinda....kwanini huwa hapangi timu hii?! Timu iko balanced ina flow vizuri....sasa mechi tulizopoteza alikuwa anapanga timu hovyo hovyo ndio maana nilikuwa na naombea wamfukuze tu hana maana.
Lakini tuache utani ANTHONY MARTIAL is talented...dogo yuko vizuri,kamkimbiza ivanovich balaa
Martial ni nux! Haina ubishi, yupo quick sana na kwa umri wake, composure ya hali ya juu sijui kaitoa wapi!Kuna kauzembe kidogo kalitaka kufanywa na baadhi ya viungo wa Chelsea kitu ambacho kilifanya huyu Martial kuonekana lkn baada ya kulifanyia hilo kz Martial hakua tena msumbufu!
Vipi? Rooney alistahili kadi gani kwa kumchezea Oscar faulo?
Au ngoja nimuite mchambuzi wa soccer wa Jf @Nonda njoo huku!
Martial angeenda Arsenal ndo ingemfiti zaidi, najua nimekuudhi, pole! Ila amekaa ki Arsenal Arsenal, kama King Henri vile kwa quickness yake alafu ni mfaransa.
Kitendo cha kumuona tu kuulizia bei yake maana yake anafaa, kocha wangu alizuga tu ili washuke bei. Si unajua le prof yeye ni mzee wa shoe string budget!Unajua kocha wako aliona hafai kuja Arsenal???
Kitendo cha kumuona tu kuulizia bei yake maana yake anafaa, kocha wangu alizuga tu ili washuke bei. Si unajua le prof yeye ni mzee wa shoe string budget!
Jamani nyie United mlishindwa kuwafunga vilaza wanao jikwamua na janga la kushuka Daraja...?
Ni aibu aisee, tunajisifu kucheza vizuri na timu iliyokua nafasi ya 16, isitoshe wenyewe walikuja kwa nia ya kutaka droo tu, unawaanzisha matic, obi na zouma unategemea nini kama sio 0-0.Mashabik wa Man Utd tunajifarij tu lkn ukweli tim yetu ipo ktk hali mbaya sn, kuanzia body ya tim, benchi la ufund, wachezaj mpk na ss mashabik.... Van Gaal out, Mourinho in
Yan mnasifia timu ilivocheza na timu mbovu ya msimu huu, au kwa kuwa jina ni Chelsea??
Sijaona mabadiliko yoyote, LvG must go!!!
Umeona eeh, ni ujinga tu wanasifia hapa.Sijaona sababu ya kusifia Performance ya United dhidi ya @Chelseafc..
United walikuwa na shoot on target 1 tu.
Uliangalia mechi au umehadithiwa ?Sijaona sababu ya kusifia Performance ya United dhidi ya @Chelseafc..
United walikuwa na shoot on target 1 tu.
Kufungwa ni sehemu ya matokeo but cha msingi ni how timu inacheza.Jana timu imecheza inavyopaswa kucheza inavyotakiwa tatizo lilikuwa umaliziaji.Kuna game tumeshinda lakini tumecheza mpira mbovu kuliko janaNi aibu aisee, tunajisifu kucheza vizuri na timu iliyokua nafasi ya 16, isitoshe wenyewe walikuja kwa nia ya kutaka droo tu, unawaanzisha matic, obi na zouma unategemea nini kama sio 0-0.
DDDLLLLD hii ndio fomu yetu msimu huu,
Mechi 6 kati ya 14 matokeo ni droo ya 0-0
Mwezi mzima wa December tumepata point mbili tu, tumezidiwa hadi na Aston villa inayoshika mkia, still kuna watu wanaamini van gaal ni mtu sahihi na atatufikisha tunapopataka, let's keep on dreaming.........
Uliangalia mechi au umehadithiwa ?