patrickkkkky
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 468
- 287
Pamoja na archivement zake zote.hizo ulizozitaja....stastics zinaonyesha lvg philosophy inaua timu yetu taratibu..I still believe in LVG jamaa anajua anachofanya na naungana na marc overmars kuwa hizi kelele zote ni hate tu juu ya LVG na mashabiki wa man tunaingia mazima kukubali.
Sasa hivi timu ipo katika kipindi kigumu na mambo haya hutokea. Nimeangalia man u tukitolewa na benefica, tumetolewa na fc basel pia, kipindi kile kungekua na internet wengi wangesema fergie afukuzwe.
Timu haipo nafasi mbaya tunaweza hata kuwa wa kwanza kabla ya january kama tutaitumia vizuri desemba. Na mechi za karibuni ni majeruhi tu na bahati mbaya ndio maana tumepoteza,
Msisahau huyu ndio kocha aliewafundisha makocha kama guardiola, luis enrique, mourinho na de boer
Amewatoa academy wachezaji kama xavi, kroos, muller, iniesta, edgar davids, nwanko kanu na seedorf.
Hawa watoto tunaowadharau leo kina varela, perreira na wengineo miaka ijayo tutamshukuru LVG sababu jamaa anajua kuibua mastaa.
Man utd si kama timu ndogo kufukuza ovyo makocha. Kocha anapewa task afanye akishindwa ndio anafukuzwa tumpeni muda lvg hadi mwisho wa msimu akishindwa kutimiza ndio tulalamike ila huu si muda wa kulalamika sababu madhara yake ni makubwa kuliko faida.
Lets hope january tunapata hata striker mmoja.
Ggmu
Pamoja na archivement zake zote.hizo ulizozitaja....stastics zinaonyesha lvg philosophy inaua timu yetu taratibu..
Mimi namkubali huyu jamaa lakini kwa huku anapokwenda sipo mkuu...
Mfano mzuri ni chelsea timu ambayo imechukua PL msimu uliopita kwa kufungwa only 3 games...lakini msimu huu wameshafungwa games tisa katika games 16 unataka kusema tatizo ni wachezaji au Kocha na kama tatizo ni kocha kwanini ashindwe kutumia tactics zilizomfanya kuchukua makombe mawili last season kuturn thing around...
Je utaka kuamini ni kweli wachezaji wanamsaliti kweli au hana tactics ambazo zinaweza kuokoa jahazi linalozama ?
Man u aliyoikuta ya Babu na Moyes ameiuza karibia yote na kuleta yake lakini still tumekuwa wabaya...
sitaki kuamini anahitaji labda 10 years ili tuwe bora tena na spending aliyokwishafanya...
msimu uliopita lvg aliambiwa timu inatakiwa iwe top 4 na akatufikisha.
na ndani ya miaka hii miwili aliyobakiza anatakiwa achukue kombe na msimu huu minimum amalize top 3.
hivyo tunatakiwa tumjudge kwa hayo. asipotupeleka uefa hata mimi nitaunga mkono atimuliwe ila sasa ni mapema mno kuanza kufikiria hayo.
timu yetu sasa hivi tukipata beki kiongozi kucheza na smalling na forward wa kucheza na martial timu imekamilika.
mimi bado namkubali jamaa na nitampa hadi mwisho wa msimu kuwaprove watu wrong
Msimu huu asipochukua ubingwa hana kisingizio,hela ya usajili alipewa ya kutosha na timu pinzani zina matatizo lakini tunashindwa kutake advantage
I still believe in LVG jamaa anajua anachofanya na naungana na marc overmars kuwa hizi kelele zote ni hate tu juu ya LVG na mashabiki wa man tunaingia mazima kukubali.
Sasa hivi timu ipo katika kipindi kigumu na mambo haya hutokea. Nimeangalia man u tukitolewa na benefica, tumetolewa na fc basel pia, kipindi kile kungekua na internet wengi wangesema fergie afukuzwe.
Timu haipo nafasi mbaya tunaweza hata kuwa wa kwanza kabla ya january kama tutaitumia vizuri desemba. Na mechi za karibuni ni majeruhi tu na bahati mbaya ndio maana tumepoteza,
Msisahau huyu ndio kocha aliewafundisha makocha kama guardiola, luis enrique, mourinho na de boer
Amewatoa academy wachezaji kama xavi, kroos, muller, iniesta, edgar davids, nwanko kanu na seedorf.
Hawa watoto tunaowadharau leo kina varela, perreira na wengineo miaka ijayo tutamshukuru LVG sababu jamaa anajua kuibua mastaa.
Man utd si kama timu ndogo kufukuza ovyo makocha. Kocha anapewa task afanye akishindwa ndio anafukuzwa tPowell
muda lvg hadi mwisho wa msimu akishindwa kutimiza ndio tulalamike ila huu si muda wa kulalamika sababu madhara yake ni makubwa kuliko faida.
Lets hope january tunapata hata striker mmoja.
Ggmu
Mwenzenu nipo nipo tu sijielewi na huyu LVG kwamba nampenda au simpendi? Ila kuna mambo totally yanachosha na hayavumiliki kama hayo herrera aliyoainisha.
sister huyu mzee huwa anazingua kinoma, alafu ana majibu flani ya kumuudhi mtu, Mwaka 2014 alitumia ?135.52 aliuza ?33.87 net spend ilikua ?101.65
Mwaka 2015 alitumia ?97.65 aliuza ?69.63 net spend ilikua 28, ukijumlisha pesa iliyotoka (net) utapata karibia ?130 ( approximately) kilichotokea sasa:
1: msimu uliipita tulitolewa nje kwenye C1C na mk dons, timu daraja la ngapiii sijui huko
2: tulitolewa nje kwenye FA cup na arsenal pale pale OT
3: Tulifika top four sababu liva na spurs walikua wanazingua
4: tumetolewa uefa kwenye kundi ambalo nahisi ndio lilikua rahisi kuliko yote, kumbuka moyes alimnunua fellain pekee lakini alitufikisha robo final
5: droo ndio nyingi kuliko ushindi
6: tumeshatolewa tayari kwenye C1C na timu daraja la kwanza.
Ila nitamchukua moureen kuliko Wenger nikiambiwa nichague
sister huyu mzee huwa anazingua kinoma, alafu ana majibu flani ya kumuudhi mtu, Mwaka 2014 alitumia ?135.52 aliuza ?33.87 net spend ilikua ?101.65
Mwaka 2015 alitumia ?97.65 aliuza ?69.63 net spend ilikua 28, ukijumlisha pesa iliyotoka (net) utapata karibia ?130 ( approximately) kilichotokea sasa:
1: msimu uliipita tulitolewa nje kwenye C1C na mk dons, timu daraja la ngapiii sijui huko
2: tulitolewa nje kwenye FA cup na arsenal pale pale OT
3: Tulifika top four sababu liva na spurs walikua wanazingua
4: tumetolewa uefa kwenye kundi ambalo nahisi ndio lilikua rahisi kuliko yote, kumbuka moyes alimnunua fellain pekee lakini alitufikisha robo final
5: droo ndio nyingi kuliko ushindi
6: tumeshatolewa tayari kwenye C1C na timu daraja la kwanza.
Ila nitamchukua moureen kuliko Wenger nikiambiwa nichague
fergie kagombana na Keane,van nistelrooy, beckham etc.Mkuu van gaal naweza kusema kinacho mbeba kwa sasa ni historia na sio uwezo, Huyu mzee kila kila sehemu anapoenda lazima atokee mchezaji ambae atazinguana nae, lakini kwetu imekua too much, jaribu kuangalia kuanzia RvP, Rafael, cleverly (juzi kafunguka), chicharito, wote jinsi wanapoondoka lazima wafunguke kwamba tatzo ni van gaal, kagombana na rojo, valdes, pia kuna tetesi kwamba Herrera nae hana furaha pale ot, hyo ni kwa upande wa wachezaji,
kiwango cha round ya pili kilikuwa ni kikubwa usiseme hayo tu kumbuka tulitoa dozi mfululizo kwa timu kubwa tulianza na spurs 3-0 tukaja liver nae akala 2 akaja city nae akala 4 yote kafanya LVG haya na 4-1-4-1, tulianza kupoteza baada ya kuwa tushafuzu UEFA sababu tulivyompiga liver na man city tayari ilikuwa imposible liver kutukamata tulimuacha point kama 7Msimu uliopita tuliingia top four sababu livapuli nae hakuwa vizuri ( kumbuka mwishoni tulivopoteza point ilikua ni rahisi sana liva Ku take advantage)
una uhakika mechi na leicester tulitumia 3-5-2? mechi naikumbuka kabisa tulitumia 4-4-2 (4-1-2-1-2) aka diamond na ushahidi huu hapa1: kukomaa na mfumo wa 3-5-2 msimu uliopita wakati ilikua wazi hauna matunda kwa ligi ya England, ikapelekea kupoteza point nyingi mwanzoni mwa msimu, hadi kupigwa tano na Leicester wakati tulikua tunaongoza tatu moja.
nakubaliana na wewe sina cha kusema2: kumtumia sana Rooney kama mid na namba kumi ( hasa kwa msimu uliopita)
3: kutuaminisha kwamba Rooney anaweza kufunga goli 20+ kwa msimu huu wakati ye mwenyewe alimuaharibu msimu uliopita.
di maria toka mwanzo haipendi man u, huyu jamaa alikuja kwetu sababu ya FFP psg walikuwa hawawez mnunua hivyo akawa hana ujanja. sipendi kumuongelea sana ila mashabiki wengi wa man u wanamuita snake maria4: kuna baadhi ya mechi alimchezesha di maria kama striker
chicha na rvp walifeli mfumo wa lvg wote tuliona mi kuondoka kwao naona sawa tu ila tulitakiwa tusajili na i hope january atasajili striker. kuhusu beki sidhani kama kuna beki anapatikana kirahisi na wanaopatikana viwango vyao ni vya kawaida.5: kumuuza RvP, chicha na Wilson kumpeleka kwa mkopo huku akituachia Rooney na martial kama striker pekee tulionao
6: kutosajili winga ya kulia, CB, richa ya kwamba alipewa fungu la kutosha
nakubaliana na wewe mechi zote 3 ya psg, arsenal na wolfsburg tumefungwa na hawa jamaa wameanza pamoja7: kumchezesha Bastian na carrick mechi na arsenal huku akiwaacha Herrera na Morgan nje.
powell ni bonge la player japo mechi ya uefa ilikuwa ni kubwa kwake ila inatakiwa jamaa apewe game time, usisahau fergie alimsajili powell kama mrithi wa rooney ni majeruhi tu yamemrudisha nyuma. hope aanze mechi na norwich ili umuone vizuri, one day atakuwa ni star wetu.8: sub zake ndio zinaniua kabisaaaa, unamtoa mata unamuingiza Powell
msimu uliopita fellaini ndio katuleta uefa na mi natamani turudishe mfumo wetu wa 4-1-4-1 ambao umetengenezwa around fellaini. jamaa ni ngumu kumkaba japo pasi zake ovyo ila akichez atleast kunakuwa na mishe mishe za goli. na akicheza fellaini inamaana young atarudi kuwa winger sababu now hapangwi kutokana na depay/mata/rooney ni vi anduje hivyo cross za young hazina madhara sana.9: eti fellain ndio m-badilisha matokeo wetu
so far tumefanikiwa nyuma beki na katikati papo vizuri, ila ukiangalia mechi kama ya westham tumefanya attempt 21 na goli 0 hivyo sio possesion inayofanya tusifunge bali ni watu hawapo makini mbele na wanapoteza chance kijinga. kwa kifupi hatuna quality mbele tukipata striker mzuri mmoja au wawili tutakuwa tishio sana. just angalia mechi kama vs man city tumewashika kila idara ila hakuna tu anaeweza kumalizia mpira nyavuni. ndio kama lvg anavyosema hatuna suarez au aguero ila tungekuwa nao wangefunga.10: possession, possession, possession, possession mwisho wa Siku matokeo ni 0-0
issue za usajili zipo overated sana. net spending ya man u sio kubwa sana na mtu kama di maria peke yake amekua responsible kwa zaidi ya pound milioni 100, 60 za kuja na 40 za kuondokea.
msimu huu net spending ya man u ni pound milioni 43. kwa kulinganisha tu watford ni 32m na newcastle ni 42m.
hivyo unaweza ukasema man u kaspend kama newcastle. huwezi compare na watu kama city waliotumia zaidi ya 100m
wanachofanya vyombo vya habari wanatangaza waliokuja tu bila kutangaza walioondoka. still timu yetu bado sana na lvg hajatumia hela nyingi ndio maana bodi imempa 200m ili aspend january na ligi ikiisha.
The issue sio ameuza wangapi tatizo ni wachezaji ulionunua wanatakiwa wakusaidie kuimprove timu yako,so far tangu amekuja tumeimprove defence na wachezaji wanaotubeba ni Smalling na De Gea ambao hakuwanunua yeye
Timu yenye Herrera,Mata,Bastian,Young inastrugle kutengeneza nafasi za kufunga magoli.How Manchester United ni klabu tajiri lakini haina striker wa kueleweka inamtegemea Fellaini
Msimu huu Chelsea wanapigania kutoshuka daraja,Man City key players (Aguero,Silva,Kompany ni majeruhi) ,Liverpool walishapotea why sisi tumeshindwa kuchukua advantage ?
Line-ups
Man Utd
1 de Gea
4 Jones
12 Smalling
17 Blind
18 Young
16 Carrick
27 Fellaini
7 Depay
8 Mata
9 Martial
10 Rooney
Substitutes
20 Romero
21 Herrera
28 Schneiderlin
30 Varela
33 McNair
43 Borthwick-Jackson
44 Pereira