Timu zangu nimezitaja, hii uliyonichagulia siitambui...uliza "shembby" ako atakupa orodha ya timu zangu.
Nilimuomba anifungulie majukwaa ya timu hizo lakini yuko bizee.
Everlenk ukuje hapa.
Hahahaaaa ulivo mkaribisha utadhani na wewe ni mwenyeji wa humu, huyo nonda mnajuana nae nyie tu
Sasa nyinyi mko full mkoko mnapigwa kila siku! Wewe tulia tu na ujitahidi umalize top 10!
ndo na mimi nashangaa hapa. ngoja tuone itakuaje?hivi Huyu mzee huwa anawazaga nini? fellain over Morgan?
to hell with you van gaal
ndo na mimi nashangaa hapa. ngoja tuone itakuaje?
defence leo kazi ipo. fellaini chenga sometimes. pale kati angekuwepo morgan ingekuwa poaDefence yetu ya Leo sio UA uhakika badala ya kumuanzisha Morgan akasaidie kuharibu mipango anamuweka fellain?
Mzuka wa kuangalia mechi umeshakata aisee dah