Nenda kawashauri loserfool utuwacheeeee!!!!! Yaani kushinda hivyo vimechi viwili vitatu mshajiona ndo timu ya dunia, usituletee nuksi kwenye timu yetu hatuna shabiki dizaini yako,hatumuhitaji Klapp na hatumtaki ..... .You will never win again ......
Huyu siyo Blandina pliiz tulieni na Klapp wenu msubiri kupigwa Klapp...
Ukiwa kwako unaandika maneno ya ajabu lakini ukija kwetu unakua mpoleeeeee .... Haya mtani uwanja wako huu
Easy baby... Easy.... let the win win games prove him otherwise!!!
Hahhahaha wangu watu wanaboa kwanini waje na ID nyingine kusaga sumu aje mzima mzima tulicheze seger e wote,sasa mambo gani ya kujifanya Man U kaniboa kishenzi, huwa siyo mkali kiihivi ila leo yamenifika....lol
Ukiwa kwako unaandika maneno ya ajabu lakini ukija kwetu unakua mpoleeeeee .... Haya mtani uwanja wako huu
Ukiwa kwako unaandika maneno ya ajabu lakini ukija kwetu unakua mpoleeeeee .... Haya mtani uwanja wako huu
Hii sielew imekujaje huku.Nina idea moja ambayo kama serikali ikiamua kuifanyia kazi
a. Itainua jina la Utalii wetu
b. Itaingiza fedha za kigeni kuliko mahali popote Afrika
c. Na itaifanya Tanzania kuwa katika hadhi ya pekee yake kila watu wanapozungumzia utalii duniani.
I would like though to patent it. Sijawahi kuisikia mahali popote, haipo katika sera zetu za utalii, na siyo mawazo ya mtu mwingine (I didn't plagiarize). How can a Tanzanian patent an idea that will affect the tourism industry and earn him some good money?
Can I patent an Idea in US that will affect another foreign country? I'm willing to share that idea with someone who knows architecture, drawing, and marketing.....Believe me, once you hear it, It'll blow you mind!!!!!!
Msaga sumu.....i miss you.
Mchukue huyo ndugu yako bhana..aache kulia lia....
Hahhahahaha mtani huyu ndugu yako kaniudhi jambo moja tu la kuja na Id nyingine na kujifanya Man U yaani angekuja direct kutusagia sumu walaaa sina shida ningesaga naye tu......mtani hata wewe kuna siku yalikufika uliyashusha kama yangu hahahhaha....
Pacha bora umekuja .......watu wanalia kwa mgongo wa Man U ,waje direct tulicheze segere wote mambo gani ya kujifanya Man U inahuuuu.....lol.....sijui leo nimepiga cha Arusha
Msaga sumu.....i miss you.
Mchukue huyo ndugu yako bhana..aache kulia lia....
Pacha bora umekuja .......watu wanalia kwa mgongo wa Man U ,waje direct tulicheze segere wote mambo gani ya kujifanya Man U inahuuuu.....lol.....sijui leo nimepiga cha Arusha
Hahaaaaa mpaka umegundua ni ID nyingine mtani nimekunyooshea mikono
Mamy nilikuwa nakuquote wew nashangaa imetokea mzee mwanakijij sielew hata
Kwani mtani DONNGO si mwenzenu? Je wembeee sio mwenzenu?Hahaaa miss you much .... Mmejuaje kama mwenzetu? Kavutiwa tu na gege&pressing style wacha atiririke ya moyoni...
Btw kwetu huji siku hizi au kwakua hatujafungwa?
HahahAha mtani bado wewe na ile ID yako......lol
Nikikamatwa na ID mpya nitaomba mods wanipige ban maisha 😎😎