Kuna mlevi mmoja anaitwa Paul Merson,huyu alikuwa mchezaji wa zamani wa Arsenal. Huyu jamaa ni Sky Pundit na mara nyingi huwa anatabiri matokeo ya mechi za premier league kulingana na anavyoona form ya timu.
Mara nyingi amekuwa akitabiri Man utd wanafungwa na mara nyingi anakosea! Kwa chuki zake huwa anaendelea na utabiri wake njaa huo huo. Sasa kali kuliko zote,ametoa utabiri wa top four. Kama kawaida kaonyesha chuki yake dhidi ya Man utd kwa kusema Man utd hawatapata nafasi ya nne.
Eti nafasi ya nne itaenda kwa Chlesea,huku Man city wakichukua kombe ,Arsenal wa pili na Tottenham wa tatu!
Man Utd and Liverpool won't finish in Premier League top four? Paul Merson predicts... | Football News | Sky Sports