Naona Man Utd wamegeuka Arsenal ya miaka ya nyuma pasi pasi pasi hadi golini. Mtuambia tik-tak football haileti ushindi sasa mmetuiga entertain football yetu, afadhali enzi zile tulikuwa tuna create chances kibao na kufunga magoli mengi kuliko mnayoyafunga sasa. Waiting
RRONDO aje na Van gaal is useless real talk.