Naona Man Utd wamegeuka Arsenal ya miaka ya nyuma pasi pasi pasi hadi golini. Mtuambia tik-tak football haileti ushindi sasa mmetuiga entertain football yetu, afadhali enzi zile tulikuwa tuna create chances kibao na kufunga magoli mengi kuliko mnayoyafunga sasa. Waiting RRONDO aje na Van gaal is useless real talk.
W. Bromo wanajilinda zaidi mbele wameacha wawili tu ila kuna kitu unaona kabiza wanataka kukifanya kwa counter attack.
Lingaard amekosa goli la wazi yeye na kipa