Manchester United (Red Devils) | Special Thread

haahhahahahahaha ooh my God.... Young alikosa penati kombe la Dunia au sio? Halafu amekosa leo vile vile
 
whooooo Rooney!!!! kakosa

Jamaa siku hizi ana gundu na penalty

hawa jamaa hovyo sana.. Mtashinda.

Nilihisi tuu tutatolewa kwenye penati

Carrock kamiss uwiiii

Dah mkosi ilikuwa

hahahahaha WTF Carrick?

Young kamiss shiit

hahahahaha Waingereza wamekosa zote... Gundu la Waingereza lipo pale pale

Waingereza wanakuwaga na gundu halafu huyu Young kama sijakosea last time England wanatolewa kwenye penati yeye ndio alipiga ya mwisho akakosa

3-1 khaaa

Tuangalia ligi sasa ... ila huu mpira wetu wa kupiga pasi tuu mhh
 


Nachikia Wine Romney pamoja na Carrick hawakucheza
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Bora mngechezasha makinda tu kama Le Prof hivi vitimu vidogo vinakamia hizi mechi
 
DonDonald nakumbuka Young alikosa penati akiwa na Three Lions, sijui ilikuwa kombe gani? Labda ni World Cup kama sikosei.
 
DonDonald nakumbuka Young alikosa penati akiwa na Three Lions, sijui ilikuwa kombe gani? Labda ni World Cup kama sikosei.

Ilikuwa kwenye Euro 2012 alikosa ila hakukosa peke yake bana .... alikosa na Ashley Cole
 
Ile Minazi utadhani tupo Karume Stadium Enzi za Mwalimu hahahaha.
 
Maajabu kama na nyie mtatolewa kama sisi na Chelsea. Anyway, hili kombe ni la watu ambao mmetoka kapa miaka ya miwili mitatu iliyopita.. ahahahahaha

Vipi bado unasimamia ulichokisema hapo ?
 
Yeah, Liverpool hawajabeba kombe miaka kadhaa City pia walitoka kapa msimu uliopita.

Jana timu yetu pendwa ingeshinda mashindano haya bado yangekuwa kwa timu hizo? lol

Ila dah tunatolewa na middlesbrough home[h=1][/h]
 
Jana timu yetu pendwa ingeshinda mashindano haya bado yangekuwa kwa timu hizo? lol

Ila dah tunatolewa na middlesbrough home

Jana tusingetolewa, ingekuwa ni Quadruple challenging. Ebana kutolewa jana haikuuma, kilichouma ni kupoteza Walcott na Ox ikizingatiwa tuna lundo la majeruhi wengine. Mbaya zaidi tuna Swansea City, Bayern Munich na Spurs kabla ya hata jeruhi mmoja kurudi. Tunahitaji kushinda at least mechi 2 na draw 1 hapo.

Nilidhani mtashinda Romero aliokoa penati za the Netherland World Cup kama sikosei, imekuwaje leo? Nadhani mtakuwa wakali katika ligi hivi sasa kuliko sisi..
 

Dah tatizo lenu timu yenu wachezaji wakianza kuwa majeruhi mnashindwa kukabiliana nayo hali hiyo... mnaanza kufungwa fungwa kijinga.... OX na Theo ni pigo kwenu .... OX aliumia mapema sana jana

Romero nilihisi anaweza kuokoa hata penati moja ila ndio haikuwa.... wacha tukomae na makombe yaliyobakia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…