Ukimuweka Rooney
#10 Herrera atacheza wapi...?
Naona alifanya hivyo...ili kuwachezesha wote kwa pamoja....
Cha pili huyu A. Martial kidogo amefufua uhai wa attack hasa ule upande wa kushoto ambao Depay alikuwa hautendei haki...kuumia kwa young kumemfanya LVG kumtumia Martial Pembeni na Roiney as striker nyuma yake akicheza Herrera. Tutegemee mabadiliko baada ya Young kuwa na fitness