magoli ya Man U ya leo makali sana......Hili la Rooney kali kinyama...Full TANGAZO........Safi sana.....Japo sitaki washinde ila ndo UKWELI huu....GOLI ZURI....2-1.....
Naam sidhani kama kutakuwa na goli lingine zuri kama hili la Rooney katika msimu huu....Berbatov (kama sikosei) aliwahi kufunga goli kama hili msimu huu lakini la Rooney zuri zaidi