Asante Mungu kwa siku hii ya leo ambayo tuliingoja kwa hamu kwa uwezo wako tumefika,Mungu wangu sina lingine ninalohitaji zaidi ya point 3 tu,wawezeshe wachezaji wetu watumie effectively nafasi wanazopata wacheze kwa bidii zote,vile vile mpe hekima LVG apange kikosi Chake vizuri,naamini na asante kwa kuwa umeniskia na tutaendelea kukaa pale juu mpaka mwisho, watu wote waseme Amen.
#GGGMU