Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo hadi liverpool kashinda! Hongereni kwa kumpiga bottom of the league.

Dogo Martial nimempenda bure.

I can see anguko la Depay kama Januzaj.

Mata...I still miss him sometimes!!!
 
Hodini lads naomba nikaribishwe jukwaaani mm ni mshabiki wa man u kitambo tokea ile ya kina garry pallister, denis irwin,eric cantona etc

Karibu sana na Jiskie uko nyumbani.......
 
Woyooooooooooooooo........my baby depay thank yuu so much......duuuuuuuuuuuuh hurereeeeeeeeeeeeeeee.
Wakuu nipo sema mjue nini...leo jumamosi afu dizain kama mrs depay ni flower kwenye hiyo harusi ila pamoja sana..

cute b.[/QUOTE] Ukirudi usisahau kunifichia kapaja kakuku kitambo sijala

Alikua na gundu baya
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…