Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Eee Mungu muumba mbingu na nchi Man City wameloose tusaidie sisi tuwin na tuwe pale juu, msaidie Van Gaal achezeshe karata zake vyema, watie nguvu wachezaji wetu wacheze kufa na kupona na wape uwezo wa kufunga magoli mengi ni Point tatu tu tunahitaji, Naamini yote katika jina lako Ameeen, watu wote tuseme Amen......#GGMU
 

Ameeeeeen!!!
 
Mpira upo slow sana. Na wanapoteza mipira sana kwenye final third.
 
Bastian au Anders inabidi aingie ili kupeleka mashambulizi mbele zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…