Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jamani tumeombwa msamaha ,Luke Shaw Msamehe tu Moreno.........

haitosh huyu jamaa ni anti football maana tackle kama ile ndan ya box ni nadra sana kutokeaa.. alikusudia kufanya unyama ule NA UEFA wanatakiwa wamwazbu huyu dogo tena adhabu kali... kutokana na hii incident mech za leo zitashuhudia kadi nying na hata red zitakuwa za kutosha.
 
Msimu huu tuna defence nzuri kuliko timu zote EPL ,tatizo kubwa ni kutengeneza nafasi na kufunga magoli.

Kuna haja kubwa ya kuwapanga Young na Valencia mwanzoni huyu Depay awe anatokea benchi tu
 
Luke Shaw will undergo his second
operation on his right leg tomorrow. If
successful, he'll be back in Manchester
this week. [ssn]
 


Tatizo la kutengeneza nafasi za kufunga wala si la hao akina Herrera, mwenye tatizo ni LVG,yeye anawataka wachezaji wabaki ktk nafasi zao badala ya kukimbia kukimbia kutoka eneo moja la uwanja kwenda eneo jingine.Nakumbuka msimu uliopita Herrera ktk mahojiano yake na televisheni moja hivi,akasema kwamba wakiwa ktk mazoezi LVG aliewahi kumtamkia "off" yaani "acha" pale alipotoa pasi na kuhama nafasi yake akiufuatilia mpira arudishiwe. Hizi technics ni nzuri kwa kujilinda kwasababu ni rahisi kujipanga haraka mpira unapopokonywa,ila mbaya kwa kushambulia kwasababu inasababisha wachezaji kushindwa kutengeneza nafasi za kutosha kwavile wachezaji wanazuwia kucheza kwa uhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…