Mkuu basti yule sio DM kipindi anacheza Bayern mwanzoni alikua ni winger van gaal kambadilisha kuwa mid lakini sio deep lying mid bali ni box to box mid mwenye uwezo wa kupanda mbele kutoa pasi hata za mwisho tofauti na deep holding mid kama Carrick au Morgan wenyewe kazi kubwa ni kuharibu mipango pale kati kati, jaribu kukumbuka ile mechi utaona Mara nyingi wenyewe wakipata mpira ilikua ni rahisi sana kufika golini kwetu, much respect kwa smalling alifanya kazi kubwa sana ya kusaidiana na bast,