Hapana, yule dogo ni namba tisa halisi na mjanja sana,ukimuangalia tu anakueleza yote. Ninaomba usiku na mchana VanGoal asichakachue kiwango chake kwa kumchanganya changanya namba.
Ukimuangalia vizuri huyu dogo, kama wewe umeanza kufuatilia mpira zamani kidogo, kiwango chake na style ya chezo wake inakupeleka kwa Thiery henry ndani ya Highbury kabla ya kuhamia Emirates. Ni suala la muda tu, dogo atathibitisha yote.