Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Martial flop come in.....! Where ar rubaman
Welcome to Manchester united Anthony Martial
Mtakubali tuu mwaka huu
Ana miaka 19
Hivi OG12, Sanchez, Ozil walicheza mechi yenu na majogoo wenye beki mbovu?Kwa beki kama ya Liverpool hata Zaha alifanya maovu two weeks ago. Itakuwa huyu mfaransa. Kama nilivyosema hakuna lolote hapa, tulishawaona kina Macheda waliishia wapi? Macheda mlikuwa mnamwita next nani vile DonDonald. Bebe naye mlikuwa mnamwita sijui next Black CR7. Muda si mrefu mtaanza kumtukana LVG kwa kumwaga pesa nyingi kwa dogo kama alivyomwaga kwa Di Maria msimu uliopita.
Kwa beki kama ya Liverpool hata Zaha alifanya maovu two weeks ago. Itakuwa huyu mfaransa. Kama nilivyosema hakuna lolote hapa, tulishawaona kina Macheda waliishia wapi? Macheda mlikuwa mnamwita next nani vile DonDonald. Bebe naye mlikuwa mnamwita sijui next Black CR7. Muda si mrefu mtaanza kumtukana LVG kwa kumwaga pesa nyingi kwa dogo kama alivyomwaga kwa Di Maria msimu uliopita.
Hivi OG12, Sanchez, Ozil walicheza mechi yenu na majogoo wenye beki mbovu?

Duh! Hata kama #UkaangaSumu huu umezidi!
Hata kama ataflop, at least I will cherish the moment he scored the goal.
#Kimekuganda
View attachment 286278