Manchester United (Red Devils) | Special Thread

MBINU ZA KINIEPUSHA KWENDA JERA KUANZIA SEPTEMBER 1:-
1. Kuanzaia kesho usinitag kwenye picha au videos zinazohusiana
na VAN GAAL, ziwe nzuri au mbaya. Simpendi na staki kujihusisha
naye.
2. Nitag kwenye habari za MAN UTD tu tena zile nzuri, ila ni vyema
ukanitext inbox kabla hujantag.
3. Nikituma picha tu bila maelezo usishangae we like au comment
bila maswali na ukitaka maelezo tuma kwanza million 5 ya kulipa
faini ntakapokamatwa.
5. Usinitag kwenye picha yoyote ya ROONEY, ntakujibu utumbo
mwisho niishie segerea.
6. Usinishirikishe kwenye habari yoyote ya VAN GAAL wala usajil wake.
7. Kwa wale wanaojifanya kupigapiga namba za watu huko
whatsapp, ni rukusa kwa wana MAN UTD tu. Kama wewe uko nje ya
MAN UTD usinitumie picha, video, massage wala kuniunga kwenye
group lisilojihusisha na habari za MAN UTD
8. Usinitumie picha za PEDRO, GOMIS, au wewe mwenyewe sababu
huu ni muda wa picha na videos za HERRERA na DEPAY tu.
9. Usinitumie massages za kunialika kuangalia mechi za MAN UTD pamoja coz ntaangalia mwenyewe ninapopajua mim, nikikupa mtusi wala hutaamini na utasababisha niishie segerea...
10. Ukivunja sharti moja wapo katka hayo utakuwa unaniweka
matatizoni sababu sitakuvumilia hata kidogo!
Mwisho nakutakia utekelezaji mwema sababu Giggs na MAN UTD tutashinda tu ubingwa wa BPL na CHAMPIONS LEAGUE na usiniulize tutashindaje hayo makombe?? Hata tukiyaiba haikuhusu..
 
Lock down at Old Trashford. The team hierarchy in panic mode. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Aulas (Lyon club owner) "It is better to pay 70M for Martial with their own money than 80M for De Bruyne with fake money from City's owner"
 
Huyo Martial ana nini cha ajabu? Mbona yupo juu hivi?

Mambo ya kukurupuka lazima upigwe cha kichwa........ila nimecheka hii nimekutana nayo Jamani watu wanaongea khaaa !!!!
 

Attachments

  • 1441041151018.jpg
    30.4 KB · Views: 161

Moyes 51 wins 27
LVG 50 wins 27
Moyes 64m
LVG 220m WTF!

Van Gaal akifukuzwa sitaumia hata kidogo.

Mpira wa leo ni magoli na sio pass.
 
Kamwambie Wenger haya maneno Benzema vipi anakuja au?..........
Tuliwauzia Judas Iskariot yaani katika majitu majinga ni uamuzi wenu wa kumuuza he would have scored for you i d i o t s we have got OG.
 
Tuliwauzia Judas Iskariot yaani katika majitu majinga ni uamuzi wenu wa kumuuza he would have scored for you i d i o t s we have got OG.

Hahhahaha!!! Una Bahati cyberlaw inaanza saa sita ningekushitaki hivi hivi mtani.....lol
 
Lloris kama kweli vileee maana Navas kachomoa, sijui ngoja tuone picha linakwendaje!!!

navas hajachomoa mkuu hayo ni maneno ya mashabiki wa Madrid wa humu jf, vyombo vingi vya habari saiz vinalipoti kuwa tumeshakubaliana nae tayari, atapewa €3mill kwa mwaka, huyo Deschamps amesema kama Lloris atatakiwa kuja kufanya mambo yake ya transfer atamruhusu kuondoka.
 

Basi hiyo itakuwa bomba mate..... ......
 

hahahahaaa, nisamehe kwa kuku-qoute usije ukaishia segerea
 
OG...Own goal???hahaha

Ni ulaghai wa mapundits tu walofunga magoli wanajulikana yaani sheria za kilofa ndio tatizo lako khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee








 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…