Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United striker Javier Hernandez has joined
Bayer Leverkusen in a £12million deal.

Baadaye akiulizwa utasikia "we have mata, Wilson, fellain, Rooney and Memphis all can score so there is no problem" akiulizwa kuhusu usajili utasikia " is the processes"
 
Yah nipo naona van gaal ameanza kuwa kama mzee wenu, tuna anangalia timu kwa stress hatuna uhakika hata tukiongoza,

Yule mzee nilikua nakwambia sio kocha angalia sub zake za kiboyaa yani mwaka huu siwacheki Uku kwetu utazami mpila bila mvinyo mezani hahah
 
Hahahahahahaha tofauti ya timu yenu na liverpool yangu sisi wachezaji wa kubadilisha matokeo 2nao ila kocha hatuna nyie wachezaji wa kubadilisha matokeo hamna na kocha hamna.
 
Van Gaal analeta uzee na misimamo ya kijinga.
Amepewa pesa ya kutosha anashindwa nini kusajili wachezaji wa maana?
Team naweza kusema ni mbovu sehemu zote ila jamaa analazimisha wachezaji wabovu wacheze.
Rooney angeuzwa badala ya Chicharito. He is a flop.
Tuna michuano mingi tunashiriki, nadhani tutatia aibu vibaya sana.
 

Moyes 51 wins 27
LVG 50 wins 27
Moyes 64m
LVG 220m WTF!
 
I agree with you but the main problem of Man United is striker (We don't score goals to finish the game) Even Barca don't have best defence but they have strike force to finish the game

Kwa 'FILOSHOFI" ya LVG hata Striker akuje bado itakuwa job true true kwa style anayochezesha ndiyo maana haoni hata umuhimu wa kuwa na striker anakwambia tulio nao wanatosha.......ni kocha mzuri in term of possession, little bit defence,passes na kuwafunza wachezaji nafasi mbalimbali lakini kwenye kufunga Magoli huko Si kwake ,ukifuatilia sehemu zote alizofundisha katika Era yake timu ilisuffer na ukame wa Magoli, alikuwa anashinda kwa ushindi wa magoli machache sana.....labda kismati Chake kiko kwenye UEFA ndo Ana experience nako huku EPL hakujui......lol
 
Anthony Martial...really!! Is this the surprise striker that Van Gaal has been fussing about. Ngoja tuone.
 

Speechless. ........nimepoteza kama masaa 2 hivi nikiangalia video za huyu Dogo,ni mzuri lakini si kwa uwekezaji wa leo labda kesho anahitaji muda zaidi wa kuzoea fitina za EPL anaweza kuwa siyo jibu la tatizo letu kwa sasa......sijui lakini anaweza kuniprove wrong.....
 
naona toka amekuja van gaal tumekuwa academy tunatoa tu vipaji, januzaj anaenda kwa mkopo Dortmund
Level za Fargie huyu LVG hajafika kabisa... Academy product zote anaziuza wakati mwenzie Alikuwa anatesa na hao hao....kusema ukweli huyu mzee anaipoteza philosophy na transfer policy ya club. Mpka sasa ameshanunua zaidi ya nusu Xi eleven yake....still bado mapungufu yapo.
 
Duh mwenzio nikiangalia nafasi ya kipa moyo unakwenda mbio sijui ni kwanni Romeo simwamini kabisa.

 
Kwa maana hiyo unataka kusema tutakuwa ready kusubiri huyu Dogo Aimproved akiwa Man U....Je vipi kuhusu wakina Welbeck....Chicharito.....na wengine ambao walihitaji muda huo
 
Duh mwenzio nikiangalia nafasi ya kipa moyo unakwenda mbio sijui ni kwanni Romeo simwamini kabisa.

Tunahitaji tuwe na ukuta imara baaaaasi!!! Tukiwa na defence nzuri majukumu yanapungua kwa GK hata mimi naweza daka...lol......sasahivi gonjwa nzito ni pale mbele ndo shida tuko ICU maradhi ya hapa na pale kwa CB......
 
DEPAY is struggling to adapt kwenye BPL, Kocha wenu anaenda kubid Millions kwa POTENTIAL nyingine kutoka France...Antony Martial is decent, but hii ni EPL mazee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…