Tunacheza mpira mbovu sana leo
Mijamaa imefungwa lakini inatembea...
Hii huioni kwenye Man U ya Fergie...
At times as this one, I am missing that good old fella
Mkuu naona ulikuwa unasubiri tufunge
Sidhani kama ni sawa na kulinganisha era zilizo tofauti sana.
Ni sawa na mtu aseme amemiss Man Utd ya Matts Busby.
Lets focus on the current era.
Jaman usiku mwemeni...
Jaman usiku mwemeni...
Lakini kukumbuka zama njema sio kosa wala dhambi hata kidogo....
Jaman usiku mwemeni...
daaah tushakufa hii gem
mech ya tatu mfululzo hawa swans wanatunyoa tu