Hili tatizo limejidhihirisha wazi toka siku ya kwanza Striker sasa ni shida kwetu hata kipofu anaona Ngoja tusubiri tuone hatua gani zitachukuliwa maana huko mitandaoni kinanuka kweli kweli fans wa MU si mchezo!!!!
Kutoshinda mechi ni kubaya ila kwa upande mwingine naona sawa tu ili yule mzee asahil striker, Rooney cjui kachoka ama vip!
....kwa matokeo ya leo nafikir ataona umuhim wa kusajil CF..
Duuuuhhh wape pole ndugu zangu jamani na mimi ni mhanga ujue Root yaan ngoma inasoma red tayari badala ya green na ni gem moja tuu....
Dadeeeeeeeeeeeeeeeek maumivu mara mbili
Leo kazingua cjui kashalewa yale maneno ya Van Gaal juz na goli mbil alizofunga.......halafu anacheza kizembe sana, kivivuvuvi hiv......cjui mdo anajiona staa au vip, kingine anasahau hii n EPL.....anaomba fouls mpk anakera!