pressure? anyone playing for united must be under pressure,kwasababu united is the biggest club in the world though currently not the best.its not van gaal who put the players under pressure bali ni fans,club history,stadium capacity ni kubwa at OT na the need to compete for each prize out there.Anachokifanya huyu mholanzi ni marudio ya kile alichokuwa anakifanya msimu uliopita kipindi cha ujio wa kishindo wa akina Di Maria & co. afu mwisho wa siku akaishia kugombania nafasi ya nne. huyu LVG is surely and steadily dragging manchester united to the football doom and demise. am sure wachezaji wote wa manchester united mpaka sasa wanacheza soka lao katika pressure kubwa kwasababu hiki kizee hakitabiriki; leo anataka kukukiss, kesho anakutwisha lawama :dance:na kuku-label kuwa hauendani na falsafa zake za kiuchwara. Am sure baada ya msimu mmoja au miwili ijayo, man u itakuwa timu ya kawaida kama wale kuku wa anfield......
Nope,United hasn't lost a pulling power at all,we just have an inept C.E.O in Ed Woodward who can't get things done as it should be.it's time for United to have a technical Director who will be involved with day to day transfer deals,this is the only way we can put all this confusion to rest
Anachokifanya huyu mholanzi ni marudio ya kile alichokuwa anakifanya msimu uliopita kipindi cha ujio wa kishindo wa akina Di Maria & co. afu mwisho wa siku akaishia kugombania nafasi ya nne. huyu LVG is surely and steadily dragging manchester united to the football doom and demise. am sure wachezaji wote wa manchester united mpaka sasa wanacheza soka lao katika pressure kubwa kwasababu hiki kizee hakitabiriki; leo anataka kukukiss, kesho anakutwisha lawama :dance:na kuku-label kuwa hauendani na falsafa zake za kiuchwara. Am sure baada ya msimu mmoja au miwili ijayo, man u itakuwa timu ya kawaida kama wale kuku wa anfield......
pressure? anyone playing for united must be under pressure,kwasababu united is the biggest club in the world though currently not the best.its not van gaal who put the players under pressure bali ni fans,club history,stadium capacity ni kubwa at OT na the need to compete for each prize out there.
pia huwezi fananisha liverpool na man utd, the problem with liverpool is that they were not buying quality player but united do buy quality players.
Safi sana umeweza kuona hiyo kitu nikupongeze pia kwa kutoa mchango bila mtazamo wa kinazi. yani kitakacho gharimu man u ni falsafa uchwara za LVG wengi hawaoni hiyo ila tu subiri tutakumbukana hapa niwasilishe. Mwisho nikupongeze japo hapa si nyumbani kwangu
Pole weee ko unataka kusema nini kuwa man u big club which is y they even fail to land mtu kama Pedro?? Au kumleta mtu kama Falcao?? Aaanh kumuweka kocha aliyemtaka di maria af akashindwa kumtumia visingizio vikawa mfumo wake havikuendana?? Hahaha Big Club inayoshindwa kufanya usajiri hasa kwa namba zinazo onekanawazi zinapwaya hahaha man u big club au ilikua kama ilivyo liver of course niwape pole tena sabu naona mtachezea big four misimu yote hahhh karma.
LVG Anampendea nini januzaj, wapi Herrera daah
Basi sawa chifu, #ManUnited siyo big club, ni shitty club.
So, what's your point? And what's the fuss?
Pole weee ko unataka kusema nini kuwa man u big club which is y they even fail to land mtu kama Pedro?? Au kumleta mtu kama Falcao?? Aaanh kumuweka kocha aliyemtaka di maria af akashindwa kumtumia visingizio vikawa mfumo wake havikuendana?? Hahaha Big Club inayoshindwa kufanya usajiri hasa kwa namba zinazo onekanawazi zinapwaya hahaha man u big club au ilikua kama ilivyo liver of course niwape pole tena sabu naona mtachezea big four misimu yote hahhh karma.
Siku hizi umeokoka kaka yangu hadi raha!!! No kubishana,safi sana.........
Pole weee ko unataka kusema nini kuwa man u big club which is y they even fail to land mtu kama Pedro?? Au kumleta mtu kama Falcao?? Aaanh kumuweka kocha aliyemtaka di maria af akashindwa kumtumia visingizio vikawa mfumo wake havikuendana?? Hahaha Big Club inayoshindwa kufanya usajiri hasa kwa namba zinazo onekanawazi zinapwaya hahaha man u big club au ilikua kama ilivyo liver of course niwape pole tena sabu naona mtachezea big four misimu yote hahhh karma.
Nimepita tu Mara kuwajulisha kua popote mlipo na Mimi nipo nikisubiri matokeo mazuri kwa Newcastle dhidi ya Manyu ili niweke kambi humu ya kuoga nje!
Nina wasiwasi na kinachoendelea kati ya van gaal na rojo, sio bure.
Wala dua la kuku halimpati mwewe
Mchezaji gani ameshindikana kufika!???
pedro ni mzuri lakin hakutakiwa united...united inahtaji strika mkali sa pedro unamuweka ktk kundi hilo!???
uwezo wa kupush team mbele wa pedro haufikii hata wa Young.
Mtu ameshndwa kucheza hspain ataweza epl!??
achen ushabiki...na mashabik wa united tusiwe na papara....kama tunahtaji mchezaji bas atakuja.