Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kipigo toka kwa west harm vip herrera utanikimbia naona masikini umeshapata

man utd masikini kwa lipi? makombe tunayo, fans tupo, hela ipo tunapoint 6 kwenye ligi, usijitetee, bado j3 mnakutana na firmino pale benteke ukigeuka nyuma unamkuta countinho, yasipojirudia ya west ham nipigwe ban
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hhaahha mate hawa EPL walichukua last season sasahivi ni ndoto za UCL😀😀😀😀😀

Wacha weee!!!!!!! Ukiona ndoto zako hazijatimia endeleeni kulala muote tena....lol

Unajaribu kusema kwamba nyie hamtagombea big four au unasemaje kama sisi ni ndoto bas nyie msijali big four ni Mali yenu hakika 😂 😂 😂 😂
 
man utd masikini kwa lipi? makombe tunayo, fans tupo, hela ipo tunapoint 6 kwenye ligi, usijitetee, bado j3 mnakutana na firmino pale benteke ukigeuka nyuma unamkuta countinho, yasipojirudia ya west ham nipigwe ban

Nani apigwe sisi arsenal?? Na liver?? 😂 😂 😂
 
hawa jamaa toka 2004 ni watu wa msimu huu ni wetu.

Shidaa iko wapi najua wazi msimu huu hamtakosa big four na mkali wenu Rooney pale mbele anaetoa ahadi ya magoli badala ya kuweka magoli kibindoni namba 9 wenu yule hahahaha herrera hahaha
 
Unajaribu kusema kwamba nyie hamtagombea big four au unasemaje kama sisi ni ndoto bas nyie msijali big four ni Mali yenu hakika 😂 😂 😂 😂

Teh teh teh teh teh Dogo relax utaokota makopo bure kama si kujinyonga kabisa maana mashabiki wa Arsenal hiyo ndo asili yenu....
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Teh teh teh teh teh Dogo relax utaokota makopo bure kama si kujinyonga kabisa maana mashabiki wa Arsenal hiyo ndo asili yenu....

Hahah everlenk unakosea ukiniita dogo ts 30 yrs nows since juwaine chosen arsenal as my tribe ningeshajinyonga ored sema usijali nasubiri kuwitness kikombe changu cha 22 tangu nimeanza kusupport arsenal najua wazi MANURE are hoping for the best while expecting the worst ila ni kisabuni tu
 
Sasa mnabaki mkijitetea kwa history hahahahahha old time shiiit what a petty issues
Aaaseh wewe ni kijana soma post yangu vizuri uelewe nilikuwa nakujibu nini sio mzee ww wakutokuwa mwepesi wakufikiri na kuelewa....
Umesema last season ndio tumeanza kugombea top four....? Miaka mingine tulikuwa tunapigania kutoshuka daraja? Tulikuwa mid table ???
 
Chelsea wamechukua ubingwa ukiwa mikononi kwa nani?? Southampton??
 
Aaaseh wewe ni kijana soma post yangu vizuri uelewe nilikuwa nakujibu nini sio mzee ww wakutokuwa mwepesi wakufikiri na kuelewa....
Umesema last season ndio tumeanza kugombea top four....? Miaka mingine tulikuwa tunapigania kutoshuka daraja? Tulikuwa mid table ???

Hiyo si sehemu ya miaka mingine?? Au hamkuwai kumaliza msimu mkiwa nafasi ya 7 au ni team B
 
baadhi ya mambo van gaal aliyozungumzia leo kwenye PC yake kuelekea mechi ya kesho na Newcastle;

alivoulizwa kuhusu ishu ya Pedro, van gaal kasema: "I cannot lie, he did fit the profile, but
I never said I was interested. [The media]
said I was interested." lakini waandishi walivomkaomalia kuhusu hii ishu kawajibu hivi "I
cannot answer these questions, you know
that. I have said it before that what we are
doing is a process. In that process we make
decisions and I think when we wanted Pedro
it was not a problem. That is because there
was a clause in his contract, so it was the
easiest transfer. You can write what you want,
but we cannot.

kuhusu kusajili tena kasema "You
have to wait and see. There's no pressure on
me, we have 28 players."

kuhusu Dave kuendelea kukaa benchi au kuondoka kasema "We shall evaluate [the goalkeeper
situation] the first of September."

alipoulizwa kuhusu tetesi za sadio mane van gaal kasema "I cannot answer. I
don't want to interfere. Ed Woodward is doing
that." "I don't think [the fans] have
to doubt Ed Woodward because he has proven
already for many, many years he is the right
person at the right spot."

baadaye kamalizia kusema Bastian anaweza akaanza mechi ijayo.
#GGMU
 
Bado watakuja hapa na kusema chelsea katuzidi ujanja kwenye deal la pedro na wakati ukweli unajulikana..
 
Back
Top Bottom