Mummy acha tu furaha niliyonayo yaani nilikuwa najisemea my wishes atleast tufunge tatu hata sijamaliza kitu kikajibu......hahhaahha shemeji buana kama leo hujajipiga sijui!!!......lol
Huu ndo wakati unahitaji timu yenye kikosi kipana.
Mechi za sasa ni bandika bandua. Kama una team yenye majeruhi inakula kwako. Au kama una kikosi kudogo imekula kwako.