Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tatizo haka kadepay mnakapa sifa za kijinga ndo maana kanawafanya sometime mnaongea vitu havipo duniani,wakawaida sana

Hiyo mechi ya liverpool wachezaji 7 na man utd 11 lini hiyo nitauwaaaa mtu aisee mm ni kama SKRTEL hakuna kucheka kazini
 
Laiti Rooney asingekuwa muingereza, hawa jamaa wangeshaanza Rooney Out.
 
Tatizo haka kadepay mnakapa sifa za kijinga ndo maana kanawafanya sometime mnaongea vitu havipo duniani,wakawaida sana

Hiyo mechi ya liverpool wachezaji 7 na man utd 11 lini hiyo nitauwaaaa mtu aisee mm ni kama SKRTEL hakuna kucheka kazini

Sawa tumekusikia mkubwa
 
Reactions: Nzi
Tatizo haka kadepay mnakapa sifa za kijinga ndo maana kanawafanya sometime mnaongea vitu havipo duniani,wakawaida sana

Hiyo mechi ya liverpool wachezaji 7 na man utd 11 lini hiyo nitauwaaaa mtu aisee mm ni kama SKRTEL hakuna kucheka kazini

Champions League night at Anifield
 
Attachments

  • 1439928670036.jpg
    4.9 KB · Views: 108
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…