Mtani shusha dua zako mtani tafadhali nataka kufika nchi ya ahadi yenye maziwa na Asali.......ushindi ndo muhimu mtani hata nusu goli lingekuwepo ingekuwa pouwa.
Nahisi atakuwa anacheki partnership ipi itakuwa nzuri zaidi hasa kwenye defending. Morgan ameshajihakikishia numba ila kazi ni Carrick na Bastan hasa ukicheki fitness zao kwa kipindi chakaribuni sio nzuri
Na hii inaashiria nn..? Nahisi ameamua kutokusajili CB msimu huu na badala yake atatumia Holding midfielders wawili ili kulinda ile backline zaidi na ukicompare msimu uliopita DDG ndio alikuwa akitusave sana...na still futere yake bado ni uncertain
HAYA NDIO MAWAZO YANGU MKUU
yah goli LA ugenini itabidi tujitahidi sana kulinda, ushindi wowote chini ya goli mbili utani disappoint sana ukizingatia forward wao wote wawili in majeruhi.
Usikimbie tu kama InvisibleMungikiBrother baada ya kipigo cha Etihad wanafuta tu pics za Gunners . .... ..... ... Chacha chiku watakapokula mkung'uto wa pili kutoka kwa Gunners chi watafunga majukwaa kabisa. khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Taarifa za uhakika kabisa kutoka ndani ya Old Trashford ni kwamba Wine Romney ame burn out baada ya mechi mbili? Hivi mko salama huko au ndio basi bora liende.