Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu nami nawatakia heri ya mwaka mpya, zaidi maswahiba zangu Belo, Eqylypz na Manda.
Leo kama kawaida yenu aisee bad performance lakini still mumeondoka na pointi 3
 
Mwaka mpya na kubebwa khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hata furgie wenu amekiri khe khe lakini mashabiki wa manure hawakubali .... mtakunywa tu huu muarobaini mpende msipende.





Khe khe kheeeeeeeeeeeeee
 
Ebanae waungwana kuna uvumi kuwa Fergie anajaribu kumleta Kaka kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu with option of a permanent move.
 
<p>
Ebanae waungwana kuna uvumi kuwa Fergie anajaribu kumleta Kaka kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu with option of a permanent move.
</p>
<p>&nbsp;</p>
Itakuwa safi sana. Bila shaka Belo will be happy zaidi, nakumbuka ile kauli ya Kaka: There is only one club at Manchester, and tht is Man Utd" aliweka iwe signature yake. Though sina hakika na fitness yake so far, ila itakuwa poa sana i head of tight race za EPL, CL na FA cup.
 
Ebanae waungwana kuna uvumi kuwa Fergie anajaribu kumleta Kaka kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu with option of a permanent move.

I would like to know the source of this gossip. Let it not be THE SUN Please!!!
 
Naomba wale wenzangu wa kutoka Old Trafford tuendelee kushangilia ushindi wa leo. Tuendelee kuzibua vizibo.
Tumeona mchezo wa vijana wapya, Pique na Simpson.
Kanyaga twende.

that's y United z the Best soccer team asee...safari hakuna kufail!
 
Naomba hayo maneno ya MzalendoHalisi,Harage na Idimi myaseme mwisho wa msimu kwani still the leaague is hot unapoisema Man hiki kipindi sio wakati wake unaujua moto wa Man United unatafuta ubigwa let wait the tunakutana hapa JF tenan nitawakumbusha

waambie hao kua ligi ina wenyewe na wenyewe ndo man u............msimu huu ligi imevamiwa ona hadi tottenham,hebu arsenal tuondoleeni nguvu zenu za soda.
 

&#12288;
RELIEF ... Manchester United celebrate Wayne Rooney's first goal
from open play since March

WAYNE ROONEY netted his first goal from open play since March as Manchester United bagged all three points at West Brom. He hasn't scored to be precise in
277 days, more than 1,417 minutes of football.

Natumaini wengi wameiona mediocre performance yake ..... khe khe kheeeeeeeeeeeee




Kubebwa kama kawa khe khe kheeeeeeee
 
Still bado tatizo ni lile lile kutokuwepo kwa Nani,Valencia,Giggs & Park tunahitaji sana Winga ,Striker hawapati mipira kabisa wapinzani wanadominate kiungo Carick/Gibson wanacheza utumbo tuombe babu Scholes arudi.Tunakwenda hivyo hivyo huu sio wakati wa kupoteza game kabisa na vitimu vidogo vimepania sana
 
Belinda yuko wapi?...................hongereni sana ManU
 

I really see the quality of Carrick as a tottenham, Everton or Aston villa Class but not ManU
 
Dah mechi ya leo tuko very thin...Rio na Rooney wamepumzishwa i guess kwa sababu ya mechi ya jumapili... evra naye ni doubt.
 
FT: Man Utd 2 - 1 Stoke City Nani na Chicharito kwenye scoresheet. point tatu muhimu kibindoni. Katika mechi nne tumejipatia pointi 10 sio mbaya especially kwa timu inayo-underperform.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…