Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Toa Januzaj weka Ashley Young mashabiki tufurahie goli sasa hivi..
 
Ila kitendo alichokifanya januzaj hakikubalik na ni cha uzalilishaj tunapaswa kukipinga kwa nguvu zote tukiwa kama wadau wa futbal
 
Wakuu mwenye link ya Live Streaming tafadhali.

Nakosaje uhondo jamani daaaaaaah

BACK TANGANYIKA
 
Ila kitendo alichokifanya januzaj hakikubalik na ni cha uzalilishaj tunapaswa kukipinga kwa nguvu zote tukiwa kama wadau wa futbal

Kafanyaje best maana nilikuwa nimetoka mbali kidogo na tv narudi nakuta goli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…