Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Akuje tuuu.....Nimewashangaa mashabiki wa Barcelona wanapiga kelele asiondoke ina maana leo ndo wameona umuhimu wake,mbona anavyosugua Benchi hawakupiga kelele?
 
naungana na wewe ingekuwa nipo kwenye position ya kufanya maamuz man u kwa upande wa kipa ningemchukua cech wa chelsea ningemuuza ddg kwa rm anakokupenda. Nahs ingekuwa biashara nzur na yenye faida na ambayo isinge2gharimu
 
Petr Cech hakutaka kuondoka London kwa sababu ya familia na Morinyo hakutaka kumuuza kwa wapinzani ikabidi Abramovic aingilie kati ndio maana Arsenal wakampata kiulaini
 
Ángel Di María will have a medical at Paris Saint-Germain in the next 24 hours. (Source: BBC Sport)
 
Ángel Di María is expected to undergo his medical in Doha tomorrow with the two clubs agreeing a £44.5m [€63m] fee. (Source: BBC Sport)
 
wazee wa matuid mpoooo nilipita kuwasalimia maana mnapanga full mkoko ila ft result ni 2:0 kweli psg noma
 
Ángel Di María will have a medical at Paris Saint-Germain in the next 24 hours. (Source: BBC Sport)

Akwende tu mwana kwenda Man U inasonga Mbele.........halafu ingependeza sana leo ungekuwa unaripot mtaani kwenu habar za ngao ya hisani unachomokoje, mambo ya Mtaa huu waachie wenyewe........#GGMU
 
Hii ndio inayompa shida kijana Young kila anaposikia habari za Pedro maana anajua depay anarudi ktk njia yake halisi. Ndio maana anatafakari kusain mkataba
 
Mavi ya kale hayanuki

Unachekesha sana nyie ndo mavi ya kale....😀😀😀😀.....naona mmeanza safari ya matumaini mwaka huu ya kuchukua EPL.....dohh!! Mtoto wangu ataoa bado Arsenal kuchukua tittle hiyo.
 
Usinikimbie humu ndan
 
Unachekesha sana nyie ndo mavi ya kale....😀😀😀😀.....naona mmeanza safari ya matumaini mwaka huu ya kuchukua EPL.....dohh!! Mtoto wangu ataoa bado Arsenal kuchukua tittle hiyo.

Hahahaa ni safari ya uhakika dada everlenk
 
Last edited by a moderator:

Hahaha kila la heri aisee!! Mshinde tu tupunguze idadi ya vifo vya wanaojinyonga........niambie kaka Shefwaa mnashinda leo? Mkishinda nialike kule Chelsea tucheze kigodoro .........
 
Team yangu iko vzuri, baada ya mechi nitakuita kule.
Sasa ni utangulizi kwnza wa Azam
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…