Hii mechi ilinikalia kushoto kweli toka mwanzo!!......lakini siyo mbaya imekuwa zoezi zuri sana la kupimana kupitia hii mechi kuna Makosa kibao ya kujifunza .
Hii mechi ilinikalia kushoto kweli toka mwanzo!!......lakini siyo mbaya imekuwa zoezi zuri sana la kupimana kupitia hii mechi kuna Makosa kibao ya kujifunza .
Yeah yapo mengi yakurekebisha..... sana sana ile command backline. Tunahitaji CB...Phil Jones, Blind walikuwa wanapotea..... mbele napo mipira ilikuwa inapotea ovyo....careless pass.
LVG on DDG He is
in a situation not favourable for
him, for us and neither for club.
Maybe he wants to go,
On di maria: i don't know where di maria is.
Blanc on Di Maria: "We feel that
negotiations are close to the
end."