Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
Kama De Gea ameamua kuondoka basi aende sasa. Maana akibaki na ikitokea akifungwa mashabiki watamlaumu kwa kuwa alitaka kuondoka na LVG akambania.
sasa kwann una judge as if de gea kisha ondoka tayari? hata hao AS they got nothing to talk about utd, hao ni vibaraka wa barca kama ilivo marca kwa Madrid, let's wait and see bado tuna safari ndefu hadi kufungwa kwa dirisha but kitu ninachoweza kukuthibitishia ni kwamba de gea tutakua nae msimu huu.
Kama Brendan alivyomreplace Suarez kwa Balloteli, a a a a, acha kuchosha watu wewe.
Damn, i hate LIVERPOLL till to dieeeeee...Yeah, coz anakuwa amefanya maamuzi sahihi ya kuondoka kwenye "the most shitiest club in the world"
Damn, i hate manchester utd man..tbh
Huna lolote tatizo lako upo obsess na MAN UNITED...unafatilia kila kitu utakufa kinywa wazi we subiri tu.
Ni "Balotelli" siyo "Balloteli"
Mwaka huu mtatapatapa sana......Referee united mpoooo
Phuck you ni.gga
Phuck you ni.gga
ndugu nini tena. relax
Nimekupata Bruh,tatizo jamaa kule kwenye page yao ya Liverpool ndo anaongeleaga mpira kama shabiki wa kweli, ila uku anakuja kutapika utumbo tu kama sio mtu wa mpira,
Nimekupata Bruh,tatizo jamaa kule kwenye page yao ya Liverpool ndo anaongeleaga mpira kama shabiki wa kweli, ila uku anakuja kutapika utumbo tu kama sio mtu wa mpira,
Manchester United manager Louis
van Gaal has warned David de Gea
that he could end up on the bench
at Old Trafford following the
signing of Sergio Romero. (Hii habari kaiandika mwandishi wa daily mail anaitwa IAN LADYMAN nae yupo Chicago na timu)
Wanatuchanganya kweli Romero ni mbadala wa DDG au Valdes?
watu kama hao unawapotezea tu wala usidili nao.
Ina maana FA walikuwa hawajui kuna bahasha zilikuwa zinatembezwa.....kwa marefa wake....?Hata mimi siez kuja huku nikaanza kuwasifia..mwishowe utatutukana wote.
Sasa nisiseme mmemsajili Shwein**** na keshakuwa majeruhi hata preseason haijaisha.
Di Maria anaondoka na kabla msimu kuanza De Gea naye anaachana na litimu lenu bovu lilikuwa linabebwa na Ferguson na bahasha zake kwa marefa (sitasahau goli walilonyimwa Totenham dhidi yenu)....
Af nimesema ukweli utantukana..hahahahaha usipanick bro!