mkuu nimeipitia hyo article mara mbili mbili, baadhi ya maeneo mzee ndio kaongea point lakini pia kuna baadhi ya sehemu mzee anajichanganya mwenyewe, anasema Manchester haiwapi nafasi watoto wa academy imewekeza sana katika kununua YES yupo sawa lakini si kwa % mia, tumeona kwenye tour young player kibao kaongozana nao, msimu uliopita tuliona akina blacket , Wilson , Pereira wakipewa nafasi, mwaka huu kawaongeza akina Johnstone, LA masia moja ya academy bora kuwahi kutokea MIAKA YA NYUMA xavi iniesta, messi Valdez wote wametokea huko lakini Leo barca inatoa £75 kwajili ya Suarez LA masia iko wapi? castilla imewatoa akina ma legend bora wa Madrid lakini leo Madrid wanaamua kumlipa £80k kinda martin toka Norway ili awe future yao, sasa kwann mda mwingi kautumia kuizungumzia utd wakati hata yeye kwenye kikosi chake anao wachache hao academy.
KUNA HII SEHEMU ANASEMA:
"Most of the clubs who have been
successful are clubs who have done that
well. You can take Barcelona of Man
United, who had a generation and built
their success on players who came from
within.
"These are our values and it is our DNA
and it's important we keep that.
"With United's success they have created
huge financial resources and today there
is no patience for them to continue to do
what they did - and they have the
financial resources to go with a different
policy. (nakubaliana nae)
ONA TENA HII SEHEMU ETI ANAJITOFAUTISHA NA MUFC
"We want to continue to combine
stronger financial resources with faith in
our philosophy and policy,"
"That means we want to continue to give
chances to young players and build the
players from inside our club with our
culture.
"Afterwards, if we can buy the
exceptional players, we can compete
today. But that will not be the basis of
our policy. (ina maana utd haiwapi chance vijana? sina uhakika kwa hilo)
BAADAYE KAONGEZEA NA HILI
"As well, they do not have available the
players like Paul Scholes, Ryan Giggs and
David Beckham inside the club, because
youth talent is spread more through 20
clubs than it was 20 years ago."
my word :
My comment is not related to this article
only.
Im sure once we have finished rebuilding
the team we will come back to our youth
policy.
So every summer we will see an addtion
of 1-2 first team players and few
youngsters promoted to frist team.
If.anyone thinks we will be spedning 150
mil every summer then i admire their
optimism.
Manchester United: A big club that became a mid table club and are now trying to buy their way back to the top.Wenger atuoneshe mfano. Atumie pound milion 20 kuleta makombe emirate.

Afadhali ya wewe unaongea points na umeona kilichoongelewa kuliko RRONDO na Bavaria etc waliosoma kichwa cha habari waka-make judgments kuwa Wenger anaoropoka sababu Arsenal haina pesa ndefu kuliko Manchester United. Kitu kingine alichosema/kumaanisha Wenger ni kuwa sasa hivi mnaweza kufanya hivyo sababu ya foundation(kuzalisha toka academy) mliyoweka miaka ya nyuma lakini kichwa cha habari kimepotosha na kimewapata wasioweza kuona ndani.Nakubali wachezaji hao wamepewa nafasi lakini inavyoonekana ni kama emphasis ya sasa ni kutumia matunda(financial powers) kujenga timu ya leo na sio kesho na keshokutwa kama enzi za nyuma. "With United's success they have created huge financial resources and today there is no patience for them to continue what they did."They have the financial resources to go with a different policy. And they do not have available players like Paul Scholes, Ryan Giggs and David Beckham inside the club."
Angalia hapo kwekundu alivyosema. Unadhani SAF angekuwepo hadi sasa Man Utd wangetumia pesa zote hizo? Kuweni wa kweli no unazi.
Kiunazi- Naona mpo mbioni kununua ubingwa kama Chelsea na City lol
wewe huna point yoyote zaidi ya kumtetea Wenger!hivi kwa akili yako unafikiri hadi kui paste hio stori na kuweka link sijaisoma?? au unafikri sijui kingereza??!! fyi information kila siku natumia muda mwingi sana kusoma skysports.com hio ndio source yangu ya habari za michezo.
namjua Wenger vizuri labda kuliko wewe,kwenye hii article anajichanganya tu as always ndio maana watu wasiomung'unya maneno kama mourinho huwa wanamlipua tu,wengine wako diplomatic wana sugar coat tu!
wenger hajawahi kuchukua kombe na timu aliotengeneza yeye complete[do ur homework]. sasa mtu ambae hajawahi kuchukua kombe kwa timu complete alioytengeneza anapata wapi mamlaka ya kusema man utd inaenda kinyum na misingi yake? yeye ameinua vipaji gani zaidi ya kwenda kwenye academ mbali mbali duniani na kuiba vitoto kama havijafikisha umri wa kusaini mikataba ya ki-pro??
kamnunua ozil,sanchez kwa hela nyingi tu,kwanini hakustick na policy 'yake' ya kukuza vipaji? acheni porojo nyinyi mambo yamebadilika mpira pesa si madrid,si barcelona,si man utd wote imefikia stage pesa inaongea hii ni biashara hamna mwenye muda wa kusubiri watoto wakue.
(Blue/Red highlighted) Nakubaliana na wewe. Unaonyesha jinsi unavyojua historia ya Wenger na Soka la EPL. Wenger hajawahi kubeba kombe kwa timu aliyotengeneza mwenyewe. Thanks to George Graham na Bruce Rioch kwa kumtengenezea Wenger the Invincibles na prior team na hii timu iliyobeba FA CUPS(ni kombe based na ulichoandika) back to back. Jamaa nakukubali, Umeshinda. Mwisho wa hii discussion. Next.....