Shemejiiiiiiiiii!!!!!! Doooh!!!! Mpaka tulianza kukusahau bora umerudi aisee maana hali ngumu,mkeo atoto naye siku hizi kaanza shabikia mpira yuko na Barca nashangaa badala aje kwako LVP,kule kadakwa juu juu na vidume vya kule si mchezo
Ameen,Asante sana mumy yaani ndo naamka.
Mmmh umemeza dawa mchana kweli?
Hop unaendelea poa
Jibu gani tena shem wewe mwenyewe si umerudi!! Labda wewe mumewe atakusikia.[/QUOT
Ameshanisikia sijavunja jungu bila yeye
Nimemeza mumy wangu ndo nilivyokunywa nikalewa zaidi
Pole mamakeee
Shemejiiiiiiiiii!!!!!! Doooh!!!! Mpaka tulianza kukusahau bora umerudi aisee maana hali ngumu,mkeo atoto naye siku hizi kaanza shabikia mpira yuko na Barca nashangaa badala aje kwako LVP,kule kadakwa juu juu na vidume vya kule si mchezo
Pua lako!
Twende liverpoolfc mke hawatusumbui tena
Akikubali ntaamini wewe ni nomaa!!!
Twende liverpoolfc mke hawatusumbui tena
Akikubali ntaamini wewe ni nomaa!!!
Yaani wewe! Hata siamini umenicomentisha huku ushetwanini!! Aaaagggrrrrr!
hahaha na bado utakuja sana tu....Yaani wewe! Hata siamini umenicomentisha huku ushetwanini!! Aaaagggrrrrr!
nimekuja hilo changa la macho hilo.....kwanza nendeni mnajaza seva tu hapaAje sasa ashuhudie na hii ha ha ha tunawakomeshaje everlenk com this way
Uwiiii timu ya wazee unaenda? Unaijua Liverfool wewe? Huko ni mababu tu ndo yamejaa halafu ili uishabikie lazima uwe na moyo wa chuma maana kila siku ni vipigo.Mweeeh ndio wapi huko? Hebu nielekeze baby twende, si unajua uendako ndiko niendako?