Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,495
Asante sana,Hii kama watabisha tena basi tena ni kuwapiga magoli tu ndo watatuelewa.
Dada everlenk kuna hawa jamaa wanaitwa Manchester City ni balaa...nahisi Serikali ya Uingereza huwa inapeleka msaada wa Chakula na huduma za kijamii
Ni kambi ya wazee aisee
View attachment 269017
Ok nimekuelewa mkuuKwasababu kila akija humu anasema #timuNakapanya oyeeeee!!!! Sasa nimemcc kwa taarifa kwamba vile anavyokufikiria sivyo..... umenielewa best?
Tutakutana EPL
Enz za furgerson mlikua mnafungwa lakini alianza msimu na kumaliza msimu akichukua ubingwa na timu mbovu ambayo hakufikiria new signings.... Aliweza kumove mountains na kikosi kidogo ambacho kilidhihirisha sifa ya man u kua ni wachezaji wasio kata tamaa lakini sasa imekua ilikuaga simply becoz bench la ufund limefariki dunia
Hata Arsenal walikuwa Invincible, leo wapo wapi?
Ushawahi kuiona AC Milan ya Ricardo Kaka & Clarence Seedorf? Leo wapo wapi?
Kuwakumbusha tu mashabiki wa Liverpool na Chelsea, kikosi cha Manchester United kinatarajiwa kuwa kama ifuatavyo: 1.De Gea 2.Darmian/Valencia 3.Shaw/Blind 4.Rojo 5.Otamendi/Jones 6.Schneiderlin/Carrick 7.Mata/Di Maria 8.Herrera/Schweinsteiger 9.Rooney/Lacazzeti 10.Pereira 11.Depay/Young.
hahahahaha ............ mdada nakuona umefurahii sana kwa ushindi wa pre-season, hongereni kwa kushinda goli la offside.
Aiseee!!! Kweli unaipenda Man U asubuhi yote ile uliamka na ukaicheki mechi na ukajua ni offside.....big up!!! Hata tungefungwa ni kawaida katika michezo.
nimeona marudio ya goli!' nijikute tu nimeamka kuangalia vibabu,siwezi nikaacha usingizi wangu, kuangalia vibabu ........... yaani kwa mchezo ule hata top 5 cjui kama mtakwemo.
Tatizo ya hizi timu ya waingereza mbali na kuwa na fanatical fans bado katika makombe ya Ulaya they are found wanting,and go down without a fightUmeona eenh!!?? Kufungwa ni moja ya matokeo, sijui kwanini huyu ikawa vice versa!!! PNC 1 na jackline1View attachment 269022