Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sure ila nafikiri unaikumbuka leistercity vizur...current season zile 5 sasa ukuanza kutoa dozi anza na hao kina leistercity

kwani we mshabiki wa timu gani? kwani mechi ina matokeo mangapi? acha uboya wewe subirieni tu
 
Man u inafoward gan ya kusisimua pale mbele?? Falcao?? Bastian?? Rooney the tehe aaaanh zile new sinnings kiungo gan hiyo.... Hakuna kitu inauma kama kuinject input kuuuubwa af output yake finyu

Bado unamhesabia Falcao ni wetu???? .........halafu nikuambie tu huku hela si mawazo poteza hela pata hela ,tunatumia hela maana tulizitafuta hela na tutazichanga tena........huna hoja yenye mashiko bro!!!!!!
 
fact zipi unataka Kwamba mlikula 5 toka kwa leistercity au aje yani kwamba mmemaliza msimu mkigombea big four?? Kwamba mlisajili forward kwa mkopo tangu mwanzo adi mwisho wa msimu alifunga bao moja?? Yan fact zip?? Sijaelewa
 
Na msimu huu tunabeba ubingwa na wahatokaa waamini
 
Bado unamhesabia Falcao ni wetu???? .........halafu nikuambie tu huku hela si mawazo poteza hela pata hela ,tunatumia hela maana tulizitafuta hela na tutazichanga tena........huna hoja yenye mashiko bro!!!!!!

Club tajiri England ni OT wanajua hilo.
 
fact zipi unataka Kwamba mlikula 5 toka kwa leistercity au aje yani kwamba mmemaliza msimu mkigombea big four?? Kwamba mlisajili forward kwa mkopo tangu mwanzo adi mwisho wa msimu alifunga bao moja?? Yan fact zip?? Sijaelewa

Sasa apo ni nimedhihirisha utoto wako complete.
Too young na akili bado za kitoto.
Kwani enzi za furgason tulikuwa hatufungwi? Yaan wewe huna hoja zenye mashiko kula kona
 
Waulize wenzako wanaoipenda man u kweli toka moyoni how top feels better than the bottom... Wanajipa moyo tu ila wanajua wazi khali ni mbaya... Kushinda game za kirafiki si sheeedah nakumba last season alianza kwa kushida ya pale USA ila mwishowe??? Kwikwikwi .... Ni nipo hapa
 
Man u inafoward gan ya kusisimua pale mbele?? Falcao?? Bastian?? Rooney the tehe aaaanh zile new sinnings kiungo gan hiyo.... Hakuna kitu inauma kama kuinject input kuuuubwa af output yake finyu

Out put kwan ushaiona?
Alafu wew ni mamluki kwa sababu falcao hatunae tena.
Alafu mbona kinakuuma sana na ligi hazijaanza?
Kwa hiyo hatuna forward?
Sad
 
fact zipi unataka Kwamba mlikula 5 toka kwa leistercity au aje yani kwamba mmemaliza msimu mkigombea big four?? Kwamba mlisajili forward kwa mkopo tangu mwanzo adi mwisho wa msimu alifunga bao moja?? Yan fact zip?? Sijaelewa

Kwani labda wewe ulitakaje? Hivi unajua Moyes aliiacha timu katika hali gani? msimu ulipoanza tulikuwa wapi?,mpaka hapo tulipoishia ilikuwaje?..........kupokea kipigo toka timu ndogo jambo la kawaida Sababu mpira ni mashindano, vipi hapo Chelsea ilikula mkono na ni mabigwa, Liverpool ilikula Sita.....nyingine malizia mwenyewe. .....
 
Hivi Falcao ni Man U pamemshinda au yeye ndo pamemshindwa?

Ila jamaa tatizo sio Man U tatizo ni majeraha maana yalimsabibisha ku-flop kuanzia Monaco na hakuwa tena the same Falcao wa Atleti

Majeraha uunh??
 
My dear everlenk don waste your tym kwa ku argue na fool, pointless man.
Utoto unamsumbua na u face book tu focus kwenye yetu.
 
Last edited by a moderator:
Acha ubishi wa Facebook... ila sio mbay post count =32 karibu mgeni
ila huku ni tofauti na Facebook ukisema no then u hv to expain why...

Post count ata ziwe trillions haiwezekan kuzuia hoja yangu kua Manchester ni mbovu kwa vigezo tajwa..... I thought wengi wa makamamasi ni kua na pua mkubwa.... Hahaha among the things nimecheka yani eti post count 32 pouwleeee this is Jf n that is man u wabovu
 
Niwaulize wenzangu??? AM RED the whole body bro!!! Kweli #wasagasumu Hamna Jipya nyie si ndiyo mliokuwa mnachonga kwamba size yenu galaxy na makombe ya mchangani?.............Na subiri hapo hapo uone kazi ya msimu wa sasa.
 
Reactions: Nzi
Bado unamhesabia Falcao ni wetu???? .........halafu nikuambie tu huku hela si mawazo poteza hela pata hela ,tunatumia hela maana tulizitafuta hela na tutazichanga tena........huna hoja yenye mashiko bro!!!!!!

Hoja yenye nashiko ni IPI bro???
 
fact zipi unataka Kwamba mlikula 5 toka kwa leistercity au aje yani kwamba mmemaliza msimu mkigombea big four?? Kwamba mlisajili forward kwa mkopo tangu mwanzo adi mwisho wa msimu alifunga bao moja?? Yan fact zip?? Sijaelewa
Mkuu nakushauri pita hivi
huna jipya..huna point....hutumii statistics.....na yote hayo unayoropoka wenzako walishaongea....Falcao alifunga bao mmoja....??
Wakuu wenzangu huyu si wakumjibu ndio kwanza mgeni humu mwacheni apige porojo zake akichoka atasepa mwenyew...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…