Manchester United (Red Devils) | Special Thread

sasa mkuu miaka 30 na 28 ni sawa?! ........... huyo wa 30 mpaka january ataanza kutembelea mkongojo. ataweza kubattle na damu changa kina Matic. Kubali mmeuziwa famba.
Mbona Carrick 33 anapambana vuzuri na Matic?
 
sasa mkuu miaka 30 na 28 ni sawa?! ........... huyo wa 30 mpaka january ataanza kutembelea mkongojo. ataweza kubattle na damu changa kina Matic. Kubali mmeuziwa famba.

hapa ni sawa unaniulliza miaka 17-19 ni sawa?? kwa namba sio sawa...ila physically most likely ni sawa. miaka 28-30 tofauti ni namba tu. ungeniambia 25 na 30 ningekwambia ni tofauti sana.

28yrs old kwa £28m na 30yrs kwa £14m ipi good deal hapo?? honestly.....
 
kwanza hata sio 30 bado wiki 1 tu afikishe 31 .......

He's 31 in a couple of weeks - is too
old for Manchester United signing Bastian
Schweinsteiger to adjust to English
football.

Goal.com
 
Mazoezi yanaenda Vyema, kwa mechi ya kesho Je ungependa kumuona nani na nani katika kikosi cha kwanza dhidi ya C.F America......#GGMU
 
Attachments

  • 1437123588139.jpg
    55.1 KB · Views: 94
  • 1437123610664.jpg
    61.1 KB · Views: 87
  • 1437123634006.jpg
    66.9 KB · Views: 87
  • 1437123654446.jpg
    53 KB · Views: 89
  • 1437123674066.jpg
    67.8 KB · Views: 88
kwanza hata sio 30 bado wiki 1 tu afikishe 31 .......

He's 31 in a couple of weeks - is too
old for Manchester United signing Bastian
Schweinsteiger to adjust to English
football.

Goal.com

Mlivyowasajili Etoo,Drogba walikuwa na miaka mingapi?
Pirlo,Carick,Xavi,Alonso wana miaka mingapi?
Last season tulikuwa na Carick tu kwenye hiyo namba now tuna Carick +Morgan+Bastian
 
sasa mkuu miaka 30 na 28 ni sawa?!
naona umemsahau pirlo 36

Pirlo yupo New York City ........... kama manure nayo ni new york city!' sawa. Vibabu vyote vinaenda kumalizia mpira Marekani, huyo kaja kuumalizia hapo.
 
CLUB AMERICA VS MANCHESTER UNITED
Hii itakua mechi yetu ya kwanza ya tour ambayo itarushwa live katika channel hizi hapa Tanzania

AZAM TV ITARUSHWA
Channel: 404 manchester utd tv
Muda : saa 12 na dakika 5 asubuhi ya jumamos/kesho

STAR TIMES ITARUSHWA
Channel: star sports 2
Muda : saa 12 na dakika 5 asubuh ya kesho

Here we come.. #GGMU
 
Attachments

  • 1437123758089.jpg
    41.2 KB · Views: 87
Mlivyowasajili Etoo,Drogba walikuwa na miaka mingapi?
Pirlo,Carick,Xavi,Alonso wana miaka mingapi?
Last season tulikuwa na Carick tu kwenye hiyo namba now tuna Carick +Morgan+Bastian

tulisajili kama backup!' sio kama nyie mnavyotaamba kwa kumnunua kibabu tegemeo!' .........hao wote wameshatemwa kwenye timu zao sababu ya uzee nyie ndio mnakomaa na kununua wazee sijui Manure nayo imekua New york redbull.
 
kwanza hata sio 30 bado wiki 1 tu afikishe 31 .......

He's 31 in a couple of weeks - is too
old for Manchester United signing Bastian
Schweinsteiger to adjust to English
football.

Goal.com

amepambana na matic wapi akamueza?!' ........... atafanikiwa labda kwa kina Mk dons.

tulisajili kama backup!' sio kama nyie mnavyotaamba kwa kumnunua kibabu tegemeo!' .........hao wote wameshatemwa kwenye timu zao sababu ya uzee nyie ndio mnakomaa na kununua wazee sijui Manure nayo imekua New york redbull.
Kama umri ndio kigezo vp kuhusu Terry anaweza kubattle na forward kama Kun 16 ???
Na wapi tumejitamba kuwa Bastan ndio tegemeo ??
Nafasi anayocheza Bastan kuna Morgan, Carrick, Versatile Blind mbona husemi na sisi tuna buckup???
Vp nyie sio New York city kwasababu Falcao na wengine type yake???
 
David De Gea na sakata la kujiunga Real Madrid linaendaje? Coz kile wanachokitaka Madrid huwa wanakipata..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…